Hatari kweli
Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.

View attachment 3189228
Mbona watu wanaongea tu lugha tusiyoijua, wamekalishwa chini, kisha kuamriwa kupanda station wagon ya mahindra na video ikaishia hapo!

Wapi wamepigwa risasi na kuuawa?
 
Mbona watu wanaongea tu lugha tusiyoijua, wamekalishwa chini, kisha kuamriwa kupanda station wagon ya mahindra na video ikaishia hapo!

Wapi wamepigwa risasi na kuuawa?
Mazabe ubanguni kimewaka wafungwa watoroka ila wengi wameuawa.
 
Hakuna mkuu waliokufa hawa wamelala usingizi si unawaona walivyolala usingizi mzito?
 
Attachments

Back
Top Bottom