Hatari maeneo ya kipawa, Airport

Hatari maeneo ya kipawa, Airport

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Kheri Mbugani kuliko Barabara ya kuvuka kipawa.

Tunaishukiru serikali Kwa kutujengea Barabara lakini Barabara hii imekuja na karaa na huzuni Kwa familia nyingi za wakazi wa kipawa.

Barabara Haina kivuko, magari yanapita njia zote kitu ambacho kinahatarisha maisha ya wananchi including wanafunzi wengi wanaovuka pale.

Hivi karibuni pameshuhudiwa ajali nyingi, lakini mpaka sasa hakuna Traffic Wala lines men wale wa mradi wanaosimama pale.

Kila siku tunasubiri habari Mbaya, hatari tunaiona lakini wa kuact hawapo.

Tunaomba serikali ina viongozi wawajibike
 
BILA KUSAHAU MBAGALA ZAKHEM PALE NAPO PAMEGEUKA MACHINJIO UVUKAJI NI MGUMU MNOOO
 
Back
Top Bottom