Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.... hao ndio waandishi wetu chief. Binafsi nikajua kuna utafiti umethibitisha jogging ni hatari kwa afya kumbe tofauti kabisa; anamaanisha mazingira ya jogging mijini Tz sio salama hususan pembezoni mwa barabara. Elimu yetu ni shida sana.Kichwa kiwe "HATARI ZA MAZOEZI YA KUKIMBIA PEMBEZONI MWA BARABARA"
Unawaambia wakafanyie kwenye viwanja va michezo, huko nani atakaewaona, nawao lango lao nikuonekanaNimekutana na watu wakifanya mazoezi ya kukimbia pembezoni mwa bara bara hizi ni athari;
1.Kugongwa na gari
2.Kuvuta moshi utokanao na magari
NOTE: Kwanini viwanja vya michezo visitumike?
Kila kitu maishani ni risk tuNimekutana na watu wakifanya mazoezi ya kukimbia pembezoni mwa bara bara hizi ni athari;
1.Kugongwa na gari
2.Kuvuta moshi utokanao na magari
NOTE: Kwanini viwanja vya michezo visitumike?
Tunaomba TakwimuNimekutana na watu wakifanya mazoezi ya kukimbia pembezoni mwa bara bara hizi ni athari;
1.Kugongwa na gari
2.Kuvuta moshi utokanao na magari
NOTE: Kwanini viwanja vya michezo visitumike?
Eti ata kunywa maji mengi nayo hatari. Dah.Kila kitu ji hatari duniani!
Cha msingi fanya chochote bila wasiwasi wa hatari
Ni kweli kufanya mazoezi barabarani ni hatari, lkn kutokufanya mazoezi ni hatari zaidi.Nimekutana na watu wakifanya mazoezi ya kukimbia pembezoni mwa bara bara hizi ni athari;
1.Kugongwa na gari
2.Kuvuta moshi utokanao na magari
NOTE: Kwanini viwanja vya michezo visitumike?
Hii imekaa kivivu sana.Unakua na pesa yako safii unadaka ili dude. Haina haja ya kukimbia kimbia kama mwehu.
View attachment 1833982