Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Binafsi kuhusu moshi wa magari huwa naziba pua au nabana pumzi nisivute ile hewa chafu mpaka napohisi imetoweka. Kwangu hili limenisaidia mno upande wa hiyo changamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashauriwa uendeshe zaidi baiskel kulinda magoti na maeneo mengine ya mwiliMkuu ni hatari kukimbia kama umezidi 45years (tetesi)
It is a mind gameNi vyema kufanya mazoezi kwenye less traffic road..... Hizi barabara busy huwa zinachangamoto sana.
Kuhusu why not viwanjani?
Kwa uzoefu wangu kufanya mazoezi uwanjani ya kukimbia huwa una cover less distance kuliko kukimbia barabara za Lami.
Ili kupata km 1 kwa uwanja wa 100 kwa 50 itakubidi uzunguke mara 3 na nusu uwanja.... Sasa kupata km 10 tu itakubidi uzunguke uwanja mara 35..... Hii inatia uvivu....
Ila barabarani unaenda tu na kupata 10km ni easy pia kuna elevation zinasaidia.
Kupiga picha za kupost na kutingisha matako kwa akina nyenyereUnawaambia wakafanyie kwenye viwanja va michezo, huko nani atakaewaona, nawao lango lao nikuonekana
Bahati mbaya ukutane na IST ni hatari sanaNi kweli kufanya mazoezi barabarani ni hatari, lkn kutokufanya mazoezi ni hatari zaidi.
Muhimu tu ni kuchukua kila tahadhari iwapo unakimbia barabarani; mfano;
1. Unapokimbia always tumia upande wa kulia (yaani kimbilia na kutazama magari yanayokuja mbele yako).
2. Kama unakimbia jioni au asbh kukiwa hakujapambazuka vzr, kuwa na reflectors Miguuni na mkononi na jitahidi kuvaa nguo zinazoo ekana kirahisi ili uonekane kirahisi na watumiaji wengine wa barabara.
3. Jitahidi ikibidi mkimbie zaidi ya mtu mmoja ili ikitokea dharura mmoja aweze kumsadia mwingine hasa mnapokimbia long run Km 21.1 na kuendelea hasa kwa pace chini ya 5.20M/Km maana inafika mahala mwili na akili vinachoka.
Kwangu mm mambo haya yamenisaidia sana na ninazidi kukuwa kila siku kimazoezi na kwa sasa i do 200km running challenge kila mwezi na ninamudu. Niwatie Moyo tuendelee na Mazoezi, Jogging haidanganyi yaani ukifanya kwa nia in very short of time matokeo yanaonekana.
Msingi kula kwa afya, punguza vyakula vya wanga, uepuke mlo wa usiku, ukishindwa punguza vzr zaidi ukila Matunda pekee.
hii ni running challenge yangu ya June, 2021 ambayo nimekamilisha leo na hii ni kila mwezi [emoji116]View attachment 1833979