Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

Cha ajabu, Sheik alishindwa kugundua kuwa Mashabiki wa Simba watamvamia, lakini CCM wanafuata ramli lake, lol

si ndio hapo sasa ... kazi anayo mwaka huu ... kuna habari kuwa sheik yahaya anatafutiwa ofisi kule ikulu ili afanye kazi yake kwenye mazingira mazuri...lol
 
I will not dignify your abusive/aggressive literature with an answer, as you believe you are smart.

You just did... and what does this make of you .. anhaaa

Shallow...I don't think so am a realist and look at both sides. You look at heresay. Have you actually known the environment being referred to.

You are the one with multiple "heresays" whatever that means here!

ha ha ha .. get it rolling .. how do you get to know (known?) the environment here?!

There is a saying those who know do not speak and those who speak do not know. Facts is 2 sides of a story.

Okay .. just to get you going. Can you give another side of the following facts?

1. The earth is spherical (round you might say) .....
2. The north pole is located somewhere in the south oooppsss ...north
 
Mwafrika is the smart one...let him speak.

As always ...... passing your responsibility to others! wtf?

I know more than what meets the eye, do not just take in all that you read, take the courageous act of visiting the area. Fuatilia pia historia ya sehemu hiyo ya Nyamongo.

Just say (or write/post) it! my gut tells me that you dont know anything (someone from the south would say ... you dont know nothing!)

The truth always sets us free...But let it be with a capital T

the truth my foot?!
 
Watanzania tuache kutukana bila sababu za msingi. Iwapo hufahamu masuala ya Chemicals and their contact pathways to human may you please keep quiet badala ya kuongea masuala ya kijinga wakati masuala haya yanatiwa siasa.

Nimeweza kupata fursa ya kuongea na wataalamu wa serikalini ambao walifanyia uchunguzi sampuli zilizotoka huko na wanasema ni kweli kuna viwango vikubwa vya kemikali kwenye mazingira na ambavyo vinachangiwa na uwepo wa mgodi ule. Ingawa kuna kiwango kikubwa pia cha zebaki (mercury) ambayo ilitumiwa na wachimbaji wadogo wa dhahabu na udongo huo (tailings) ukiingizwa kwenye mchakato wa Cyanide unaotumiwa na Mgodi huo matao ni komaundi za ajabu na hatari zaidi hutokea. Nikikumbuka maneno ya Teweli wa barrick alisema pH (kwa wasiojua chemistry nimewatimulia vumbi hapa) iko kwa wastani wa 7 ambayo ni kawaida kwa maji lakini kemikali zinazozuru pia zinaweza kuwa nyingi tu ingawa pH inaonesha hivyo kwa kuwa inaonesha kiwango cha haidrojen ion lakini other poisonous ions may pe present in hazardous levels pia.

Nawaomba sana wanasiasa walio serikalini na wabunge wetu, kwenye suala la mazingira na sheria ya mazingira iko wazi kabisa kuwa anayechafua mazingira agharimie na asafishe (Polluter Pay principal) nashangaa sana kuona serikali, ofisi ya makamu wa raisi idara ya mazingira ikiwa na mtoto wake NEMC wapo kimya kwenye hili. je sheria yetu mpya hii mnashindwa kuosimamia?

Pia waziri mwenye dhamana ya mazingira Dr. Batilda Buriani una lipi la kutueleza hapa zaidi ya safari zako nyingi pia za kwenye mikutano ya kimataifa ya mazingira? Je ni nani alichangi kumuhamisha mama Angelina Madete toka ofisi ya VPO-DoE kwenda Ikulu wakati alikuwa kichwa na uwezo mkubwa katika masuala mazima yanayohusu kemikali hasa zenye hatari? Inakuwaje nafasi ya kukaimu ukurugenzi katika idara hiyo amepewa yule ambaye ni bosi wa EPMS ambaye nakitafuta cheo hicho kwa udi na uvumba kiasi haelewani kabisa na yule Dr aiyekuwa ofisi ile akapewa ukatibu mkuu wizara nyingine. waziri utakosea sana kumpa huyo jamaa ukurugenzi kwani wafanyakazi wengi idara hiyo watakimbia ama kuacha kazi. Tafadhali sana watanzania tuache siasa za kushindana mambo ya posho na mafao tutaipeleka nchi pabaya kuliko hapa.
 
As always ...... passing your responsibility to others! wtf?



Just say (or write/post) it! my gut tells me that you dont know anything (someone from the south would say ... you dont know nothing!)



the truth my foot?!

I will not stoop to your level of abuse. And JF is not a forum for abuse, open discussion and I aired my views. Do not think you can use intimidation in such forum by being abusive language.

Please use abuse to those you have no respect for but respect view points of others.
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa Ashanti Goldfields in Geita na nilishuhudia ushenzi huu first hand. Kuna siku niliwekwa shift ya usiku na supervisor mmoja mghana na kwa bahati mbaya maji, wenyewe wanaita slurry, ambayo ni mchanganyiko wa Cyanide , Maji na Activated carbon ilioverflow na kumwagika kwenye mpaka chini huko kwenye maji ya wanakijiji. Waliita special team kuweka udongo na yule Mghana alipewa tiketi ya kurudi nyumbani kesho yake.

Wajamii, cyanide(hydrogen cyanide) is a dangerouus chemical and it should be handled with caution. Nawaonea hawa watu huruma kwa sababu kama miili yao kwa nje hiko hivi wewe unategemea organs zao zitakuwaje ? These people should file a lawsuit against this company .
 

kaka ulivyoshohudia ulifanyanya nini au ulichukua hatua gani?
 


I have worked in mining companies before and I can say with confidence that tailing dams- water seepage is not the only culprit in this scenario; one should look into the possibility that the cause might be slurry overflow from the clarifier. Mind you, the cyanide concentrations in those clarifiers are much higher compared to the one in tailing dams.


What needs to be done is to collect water from Wanakijiji receiving streams near the mining and do a thorough analysis on its contents i.e heavy metals, cyanide, base neutral and acid as well as volatiles. We should thereafter run another test on another receiving stream that is far from the mining and make a comparison with the former.

The government must intervene and do a thorough investigation on this this mining company. Another thing that we should look at is whether these mining companies are required to have pre-treatment program before discharging their slurry to the tailing dam. It is imperative to understand that simply because you have a tailing dam you can discharge whatever you want in there, the slurry pH must be within a certain parameters before discharging.

At the end of the day, our government must establish standards and also start policing these companies.
 







Dear Colleagues and partners,

Greetings from North Mara in Tarime.

I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year's and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine.

New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village.

The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review.

As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those who are critically ill.

An appeal is made to all of you to act in your different capacities.

Kind regards,


 
Uongozi tulionao sasa umevuka mipaka wajameni. Hii sio haki ni USHENZI ULIOPINDUKIA MIPAKA!!
 
Hivi hii serikali yetu imeenda likizo hawayaoni haya. Kwanini akina yona wasinyongwe? Ben angalia unavyowafanya wenzako. Je Ufalume wa mungu utauona kweli?
 
this is so sad, poor waste treatment technologies in Tanzania!
 
Acheni uzushi, hayo ni mazadhara yanayotokana na matumizi ya mercury. hao ni wachimbaji wadogowdogo ambao hurecover gold kwa kutumia mercuri.

ACHENI UZUSHI USIOKUA NA TIJA.
 
Oh my God.
Pesa kwa damu za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…