Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa Ashanti Goldfields in Geita na nilishuhudia ushenzi huu first hand. Kuna siku niliwekwa shift ya usiku na supervisor mmoja mghana na kwa bahati mbaya maji, wenyewe wanaita slurry, ambayo ni mchanganyiko wa Cyanide , Maji na Activated carbon ilioverflow na kumwagika kwenye mpaka chini huko kwenye maji ya wanakijiji. Waliita special team kuweka udongo na yule Mghana alipewa tiketi ya kurudi nyumbani kesho yake.
Wajamii, cyanide(hydrogen cyanide) is a dangerouus chemical and it should be handled with caution. Nawaonea hawa watu huruma kwa sababu kama miili yao kwa nje hiko hivi wewe unategemea organs zao zitakuwaje ? These people should file a lawsuit against this company .