Basi miji hizo mambo za hapo juu zipo miji mingi.Hakuna wa kutokea bush hapa, labda hiyo miji unayoizungumzia ndio sijafika...
Hiyo CHAWA umepigaje hapo?Ni sehemu pekee TZ waweza kuishi zaidi ya kipato chako...
Ni sehemu pekee tena TZ waweza kukaa chini ya mti, nje ya mafremu ya biashara na kuvuta sigara, kunywa maji na hata kula milo 2 bila kufanya kazi yoyote ila ukafaidi kwa kutumia kauli yako..
Mishe mishe ziko nyingi mno labda usitumie akili yako vyema...
Shikamoo siyo lazima hata kwa kijana uliyemzidi umri sana sana au mzee aliyekuzidi umri!
Kupeana salamu siyo shuruti ila hakikisha hutawaomba msaada hao wadau...
Utalala njaa kwa kujitakia, waweza menya viazi vya chipsi, fanya usafi, okota chupa, osha magari/pikipiki, Bajaj, malori, daladala, beba vitu na mkokoteni nk nk nk
Kuwa smart ni sababu ya kwanza usilale njaa, pili usichaguwe kazi, tatu fanya kwa nguvu, ufanisi na maarifa, mwisho jitahidi uwe CHAWA!
Masikini jeuri wapo huko unapozungumzia?Basi miji hizo mambo za hapo juu zipo miji mingi.
Wapo kote, nenda kwa wanyakyusa na wahaya ndio utakutana na tafsiri sahihi ya maskini jeuri.Masikini jeuri wapo huko unapozungumzia?
😅😅😅sema hilo jiji lina wazinzi wa kuzoaDar ni jiji la pilika nyingi kwa watu wa rika zote. Kumuamini mtu usiemjua hata kwa uchache dasalama ni kosa kubwa sana linaloweza kukugharimu maisha yako yote. Kwenye hili nna kisa kimoja kilitaka nitokea sema mr machale nikashtuka.
Dasalama kusimamishwa na mtu kavaa vizuri kukuzidi alafu anakuomba jero ya nauli ni kitu ya kawaida.
Ukigusa imo kama NBC Kiganjani😂😅😅😅sema hilo jiji lina wazinzi wa kuzoa