HATARI: Nairobi yazipita Mogadishu, Kabul, Bujumbura, Syria na Tripoli.

Kumbe ndiyo maana janerose amenigomea kuwa tour guard wangu kenyaaaaa du Mimi nili mlaumu bure kumbe alikuwa ananitakia mema
 
IMF JE...mwisho mkawaita mabeberu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IMF JE...mwisho mkawaita mabeberu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, katika hilo suala ninadhani unajua msimamo wangu, hupaswi kuniuliza. Sasa hivi mada ni juu ya usalama Kenya.

Hizi taarifa za Forbes kwamba Nairobi ni hatari zaidi kuliko Mogadishu, Kabul au Bujumbura ni kweli kabisa, kwasababu nilibahatika kutembelea baadhi ya hiyo miji iliyotajwa, ikifika Nairobi utagundua kwamba Mogadishu ina nafuu kubwa sana, ukiachana na vitisho vya Alshabaab, hakuna ujambazi, wizi, mauaji ya kiholela, vibaka, wala kutoaminiana miongoni mwa watu. Nairobi kila mtu anamuogopa mtu aliyeko jirani yake, maisha ni wasiwasi sana hasa kuanzia SAA moja jioni.
 
Hii ni uongo kwa Sababu U.N wangetoroka zamani kwani headquarters za U.N ( UNEP na UN Habitat) haziwezi kuwa katika nchi isiyo salama. Kenya ndio nchi pekee duniani iliyo na headquarters ya U.N south of the equator.
Sasa si inabidi U.N wakae zaidi sehemu zenye fujo ili wafanye kazi kiulaini[emoji3][emoji3]
 
Lakini forbes wakisema Nairobi ipo mbele ki biashara utafiti wao ni sahihi?
Hehehe kweli mfa maji hutapatapa😂😂
 
Ndio. Eti nchi ambayo ni moja kati ya nne duniani ambazo zina UN headquarters (USA, Switzerland, France, Kenya) ni hatari kwa usalama. Nani anaeza amini hiyo upuzi?
UN huwa na tight security, na wafanyakazi wao hupewa walinzi wengi sana. The article is talking about the security of ordinary foreigners not UN staff or Diplomats
 
Lakini forbes wakisema Nairobi ipo mbele ki biashara utafiti wao ni sahihi?
Hehehe kweli mfa maji hutapatapa😂😂
Inategemea wamefanya utafiti wao vipi. Kama wameenda kuuliza watu maoni yao basi hapo hakuna utafiti wa maana. Hakuna siku maoni yatakuja kuwa a solid scientific research. Ndio maana maoni ya watu yanakuwa katika social science kwa mfano psychology au sociology. Lakini hard science kama physics, chemistry au hata some branches of economics ambayo naifahamu vyema, mtu lazima atafute data na concrete evidence ili afanye analysis.
 
Lakini NGO uchwara zikisema umaarufu wa JPM umeshuka hiyo ni research timam😂😂😂
 
Kwahiyo wanaposema" Diani is the best beach", au Kenya inaongoza katika kipengele cha kuwa " Friendly and easy in doing business" hapo wametumia "Chemistry, Physics au hard science?.

Huku Tanzania, ripoti kama hizi zikitolewa na wazungu, tunawaita "Mabeberu", zikitolewa na watanzania wenzetu, tunawaita wasaliti, au wamenunuliwa na mabeberu kuisaliti Tanzania.

Ila hii ni dalili ya kutokuendelea. Ukiona jamii haipendi kukosolewa, au haipendi kukubaliana na taarifa yoyote ile inayoonyesha mapungufu, udhaifu au kushindwa kwake, hiyo ni dalili kubwa sana kwamba hiyo jamii haijaendelea.

Ukiachana na na nchi kama South Afrika, Mauritius, Seychelles na Nigeria katika uchaguzi wa mwisho, ni nchi gani Africa ambayo uchaguzi ulimalizika na wslioshindwa wakakubali matokeo?.

Forbes wanajua sana jinsi ya kukusanya taarifa na kuzifanyia " analysis " kabla ya kuzitoa duniani, hawawezi kutoa kitu ambacho hakina " credibility". Kama wewe ni mchumi, heshimu "professional" za watu wengine. Kuendelea kupingana na Forbes, ni kuonyesha "how primitive you are"
 

have you ever imagined how possible women in Nairobi being raped in Matatu?
Do you think these are just Normal things?
 
Sawa
 
Lakini NGO uchwara zikisema umaarufu wa JPM umeshuka hiyo ni research timam😂😂😂
La hasha. Wao pia wamekusanya maoni ya watu kuhusu JPM na maoni ya watu sio kitu concrete. Unakumbuka wakati wa uchaguzi wa Marekani, opinion polls zilisema eti Hillary Clinton atashinda na Trump atashindwa. Media zilisahau kitu moja tu, kwamba hayo yalikuwa ni maoni ya watu tu na maoni yanaweza badilika au watu wakadanganya. Baada ya uchaguzi Trump alishinda kwa hivyo maoni ni maoni tu.
 
This Toilet Fly called jiwe Linaumwa na nini?
 
Tony254, tatizo wewe unachanganya kati ya 1)Opinion polls/community survey, 2) Community researches. Hivi ni vitu viwili tofauti sana. Forbes wametoa taarifa za community research, sio community survey. Jipe muda ujielimisha kuhusu tofauti ya hizi mbili, usichanganye.
 
Pelekeni ATCL hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…