komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jibu swali
Fungua Uzi ili watu wajadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua Uzi ili watu wajadili.
Kuamini au kutoamini havina na uhusiano wowote na ukweli au uongo wa taarifa husika. Ukweli au uongo wa matokeo ya tafiti unategemea na jinsi utafiti ulivyofanyika.
Kuamini au kutoaminika kwa taarifa kunategemea na "source" au media iliyotoa na kutangaza hiyo taarifa. Forbes ni miongoni mwa "Sources" zenye kuaminika sana hapa duniani kutokana na umahiri waliojijengea katika kufanya tafiti nyingi na kwa muda mrefu.
Dunia kwa ujumla itakushangaa sana kama utajaribu kupinga tafiti/taarifa za Forbes bila kutumia researches zenye kuaminika. Unapinga kwa kutumia kichwa chako, kumbuka kwamba, tafiti hupingwa kwa tafiti. Pole Sana.
Forbes; Kenya inashika namba 7 duniani katika nchi hatari zaidi.Jibu swali
Hahahaha, katika hilo suala ninadhani unajua msimamo wangu, hupaswi kuniuliza. Sasa hivi mada ni juu ya usalama Kenya.IMF JE...mwisho mkawaita mabeberu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si inabidi U.N wakae zaidi sehemu zenye fujo ili wafanye kazi kiulaini[emoji3][emoji3]Hii ni uongo kwa Sababu U.N wangetoroka zamani kwani headquarters za U.N ( UNEP na UN Habitat) haziwezi kuwa katika nchi isiyo salama. Kenya ndio nchi pekee duniani iliyo na headquarters ya U.N south of the equator.
Lakini forbes wakisema Nairobi ipo mbele ki biashara utafiti wao ni sahihi?Hayo ni maoni ya watu bali hamna utafiti wa kisayansi uliyofanywa. Hata mimi nikija TZ niulize watu elfu moja mji gani TZ ndio hatari kwa usalama. Nitapata majibu lakini hiyo sio utafiti wa kisayansi bali ni maoni ya watu tu. Kuna tofauti kati ya opinion survey and scientific research. Hio internation ni kundi la foreigners wanaotoa maoni yao kuhusu nchi mbalimbali. Maoni sio sawa na ukweli wa kisayansi. Maoni ni maoni tu na kila mtu ana maoni yake.
UN huwa na tight security, na wafanyakazi wao hupewa walinzi wengi sana. The article is talking about the security of ordinary foreigners not UN staff or DiplomatsNdio. Eti nchi ambayo ni moja kati ya nne duniani ambazo zina UN headquarters (USA, Switzerland, France, Kenya) ni hatari kwa usalama. Nani anaeza amini hiyo upuzi?
Inategemea wamefanya utafiti wao vipi. Kama wameenda kuuliza watu maoni yao basi hapo hakuna utafiti wa maana. Hakuna siku maoni yatakuja kuwa a solid scientific research. Ndio maana maoni ya watu yanakuwa katika social science kwa mfano psychology au sociology. Lakini hard science kama physics, chemistry au hata some branches of economics ambayo naifahamu vyema, mtu lazima atafute data na concrete evidence ili afanye analysis.Lakini forbes wakisema Nairobi ipo mbele ki biashara utafiti wao ni sahihi?
Hehehe kweli mfa maji hutapatapa😂😂
Lakini NGO uchwara zikisema umaarufu wa JPM umeshuka hiyo ni research timam😂😂😂Inategemea wamefanya utafiti wao vipi. Kama wameenda kuuliza watu maoni yao basi hapo hakuna utafiti wa maana. Hakuna siku maoni yatakuja kuwa a solid scientific research. Ndio maana maoni ya watu yanakuwa katika social science kwa mfano psychology au sociology. Lakini hard science kama physics, chemistry au hata some branches of economics ambayo naifahamu vyema, mtu lazima atafute data na concrete evidence ili afanye analysis.
Kwahiyo wanaposema" Diani is the best beach", au Kenya inaongoza katika kipengele cha kuwa " Friendly and easy in doing business" hapo wametumia "Chemistry, Physics au hard science?.Inategemea wamefanya utafiti wao vipi. Kama wameenda kuuliza watu maoni yao basi hapo hakuna utafiti wa maana. Hakuna siku maoni yatakuja kuwa a solid scientific research. Ndio maana maoni ya watu yanakuwa katika social science kwa mfano psychology au sociology. Lakini hard science kama physics, chemistry au hata some branches of economics ambayo naifahamu vyema, mtu lazima atafute data na concrete evidence ili afanye analysis.
Inategemea wamefanya utafiti wao vipi. Kama wameenda kuuliza watu maoni yao basi hapo hakuna utafiti wa maana. Hakuna siku maoni yatakuja kuwa a solid scientific research. Ndio maana maoni ya watu yanakuwa katika social science kwa mfano psychology au sociology. Lakini hard science kama physics, chemistry au hata some branches of economics ambayo naifahamu vyema, mtu lazima atafute data na concrete evidence ili afanye analysis.
Hii inahusiana aje na comment yangu?have you ever imagined how possible women in Nairobi being raped in Matatu?
Do you think these are just Normal things?
SawaKwahiyo wanaposema" Diani is the best beach", au Kenya inaongoza katika kipengele cha kuwa " Friendly and easy in doing business" hapo wametumia "Chemistry, Physics au hard science?.
Huku Tanzania, ripoti kama hizi zikitolewa na wazungu, tunawaita "Mabeberu", zikitolewa na watanzania wenzetu, tunawaita wasaliti, au wamenunuliwa na mabeberu kuisaliti Tanzania.
Ila hii ni dalili ya kutokuendelea. Ukiona jamii haipendi kukosolewa, au haipendi kukubaliana na taarifa yoyote ile inayoonyesha mapungufu, udhaifu au kushindwa kwake, hiyo ni dalili kubwa sana kwamba hiyo jamii haijaendelea.
Ukiachana na na nchi kama South Afrika, Mauritius, Seychelles na Nigeria katika uchaguzi wa mwisho, ni nchi gani Africa ambayo uchaguzi ulimalizika na wslioshindwa wakakubali matokeo?.
Forbes wanajua sana jinsi ya kukusanya taarifa na kuzifanyia " analysis " kabla ya kuzitoa duniani, hawawezi kutoa kitu ambacho hakina " credibility". Kama wewe ni mchumi, heshimu "professional" za watu wengine. Kuendelea kupingana na Forbes, ni kuonyesha "how primitive you are"
La hasha. Wao pia wamekusanya maoni ya watu kuhusu JPM na maoni ya watu sio kitu concrete. Unakumbuka wakati wa uchaguzi wa Marekani, opinion polls zilisema eti Hillary Clinton atashinda na Trump atashindwa. Media zilisahau kitu moja tu, kwamba hayo yalikuwa ni maoni ya watu tu na maoni yanaweza badilika au watu wakadanganya. Baada ya uchaguzi Trump alishinda kwa hivyo maoni ni maoni tu.Lakini NGO uchwara zikisema umaarufu wa JPM umeshuka hiyo ni research timam😂😂😂
Tony254, tatizo wewe unachanganya kati ya 1)Opinion polls/community survey, 2) Community researches. Hivi ni vitu viwili tofauti sana. Forbes wametoa taarifa za community research, sio community survey. Jipe muda ujielimisha kuhusu tofauti ya hizi mbili, usichanganye.La hasha. Wao pia wamekusanya maoni ya watu kuhusu JPM na maoni ya watu sio kitu concrete. Unakumbuka wakati wa uchaguzi wa Marekani, opinion polls zilisema eti Hillary Clinton atashinda na Trump atashindwa. Media zilisahau kitu moja tu, kwamba hayo yalikuwa ni maoni ya watu tu na maoni yanaweza badilika au watu wakadanganya. Baada ya uchaguzi Trump alishinda kwa hivyo maoni ni maoni tu.
Kuhusu nini?This Toilet Fly called jiwe Linaumwa na nini?
Hahahaha, katika hilo suala ninadhani unajua msimamo wangu, hupaswi kuniuliza. Sasa hivi mada ni juu ya usalama Kenya.
Hizi taarifa za Forbes kwamba Nairobi ni hatari zaidi kuliko Mogadishu, Kabul au Bujumbura ni kweli kabisa, kwasababu nilibahatika kutembelea baadhi ya hiyo miji iliyotajwa, ikifika Nairobi utagundua kwamba Mogadishu ina nafuu kubwa sana, ukiachana na vitisho vya Alshabaab, hakuna ujambazi, wizi, mauaji ya kiholela, vibaka, wala kutoaminiana miongoni mwa watu. Nairobi kila mtu anamuogopa mtu aliyeko jirani yake, maisha ni wasiwasi sana hasa kuanzia SAA moja jioni.
Forbes; Kenya inashika namba 7 duniani katika nchi hatari zaidi.