HATARI: Nairobi yazipita Mogadishu, Kabul, Bujumbura, Syria na Tripoli.

Hahahahahhah aahah qumamaqee
 
Hii ni uongo kwa Sababu U.N wangetoroka zamani kwani headquarters za U.N ( UNEP na UN Habitat) haziwezi kuwa katika nchi isiyo salama. Kenya ndio nchi pekee duniani iliyo na headquarters ya U.N south of the equator.
Ww hata Pakistan kuna conflicts lakini balozi za kimataifa zipo hadi za USA.Hiyo haijalishi.
 
naamanisha tafiti zinazotangazwa bila kuchambuliwa kwanza na serikali.

Duniani koote, kuna mamlaka ya usimamiaji wa tafiti, research regulatory authority. Kama Tanzania kuna COSTECH ambayo inatoa na research permits baada ya mfanya utafiti kuwasilisha maombi na kuambatisha muhtasari wa nini anachotarajiwa kufanya.
Kama umewahi kufanya utafiti katika ngazi za juu, utalielewa hili.
 
Je unajua kuwa sheria mpya ya tafiti ya hapa Tanzania baada ya kumaliza tafiti huruhusiwi kuitngaza mpaka serikali ione inafaa?
Je unajua sheria hiyo imepelekea mabeberu kusitisha misaada kwasababu ni wazi serikali inazuiya tafiti ambazo haziwafurahishi??
 

Naijua hiyo sheria,
Ila sheria iliyoleta hasira kwa mabeberu ni ile ya takwimu, nadhani pia imerekebishwa.
Hata ubeberuni, huwezi toa tafiti bila kupata ridhaa ya mamlaka. Ndiyo maana wazee wa conspiracy wanamwaga vitu kwa kificho.
 
Naenda nairobi Week hii wadau, naomba kuuliza je iyo Nairobi in a favour maisha ya Mtanzania wa dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…