Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Naona umesha rusha fly toilet una furahiiPelekeni ATCL hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umesha rusha fly toilet una furahiiPelekeni ATCL hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umesha rusha fly toilet una furahii
Hahahahahhah aahah qumamaqeeHii ni kuwataarifu watanzania wote kwamba, Kenya sio nchi salama kabisa kwa sasa, hii ni kutokana na utafiti wa kimataifa uliowahoji zaidi ya watu Elfu 20 waliotembea na kuishi ktk nchi zote hizo.![]()
Survey ranks Kenya 7th ‘most dangerous’ country to live in
A new survey done by InterNations, a global community and information site for people who live and work abroad and published by Forbes, has ranked Kenya the 7th ‘most dangerous’ country to live in,www.thecitizen.co.tz
Kenya ni nchi hatari sana kuishi, kufanya biashara, au hata kwenda kutalii kwa sasa hivi, ni bora salama zaidi kwenda Mogadishu au Bujumbura kuliko Nairobi.
Kwa wale ambao walikua bado hawana uhakika kuhusiana na hali ya usalama wa Kenya, ukweli ndio huu, mkiamua kuendelea kwenda, mfahamu wazi kwamba mnahatarisha maisha yenu.
HABARI NDIO HIYO.
Ww hata Pakistan kuna conflicts lakini balozi za kimataifa zipo hadi za USA.Hiyo haijalishi.Hii ni uongo kwa Sababu U.N wangetoroka zamani kwani headquarters za U.N ( UNEP na UN Habitat) haziwezi kuwa katika nchi isiyo salama. Kenya ndio nchi pekee duniani iliyo na headquarters ya U.N south of the equator.
Sheria za Tanzania zinaruhusu watu kuja kufanya tafiti huru?
naamanisha tafiti zinazotangazwa bila kuchambuliwa kwanza na serikali.Unamaanisha nini unavyosema tafiti huru?
naamanisha tafiti zinazotangazwa bila kuchambuliwa kwanza na serikali.
Report inaweza isichambuliwe na serikali na bado isiwe huru.naamanisha tafiti zinazotangazwa bila kuchambuliwa kwanza na serikali.
haya.Report inaweza isichambuliwe na serikali na bado isiwe huru.
Je unajua kuwa sheria mpya ya tafiti ya hapa Tanzania baada ya kumaliza tafiti huruhusiwi kuitngaza mpaka serikali ione inafaa?Duniani koote, kuna mamlaka ya usimamiaji wa tafiti, research regulatory authority. Kama Tanzania kuna COSTECH ambayo inatoa na research permits baada ya mfanya utafiti kuwasilisha maombi na kuambatisha muhtasari wa nini anachotarajiwa kufanya.
Kama umewahi kufanya utafiti katika ngazi za juu, utalielewa hili.
Je unajua kuwa sheria mpya ya tafiti ya hapa Tanzania baada ya kumaliza tafiti huruhusiwi kuitngaza mpaka serikali ione inafaa?
Je unajua sheria hiyo imepelekea mabeberu kusitisha misaada kwasababu ni wazi serikali inazuiya tafiti ambazo haziwafurahishi??
Pole yako kama unaenda Nairobi, kuwa makini sana na usalama wako.Naenda nairobi Week hii wadau, naomba kuuliza je iyo Nairobi in a favour maisha ya Mtanzania wa dsm
Sawa naomba kuuliza bei za guest na chumba cha kupanga because naweza kuwepo hata miezi sita hiviPole yako kama unaenda Nairobi, kuwa makini sana na usalama wako.
cc. Tony254Sawa naomba kuuliza bei za guest na chumba cha kupanga because naweza kuwepo hata miezi sita hivi