HATARI: Nairobi yazipita Mogadishu, Kabul, Bujumbura, Syria na Tripoli.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hii ni kuwataarifu watanzania wote kwamba, Kenya sio nchi salama kabisa kwa sasa, hii ni kutokana na utafiti wa kimataifa uliowahoji zaidi ya watu Elfu 20 waliotembea na kuishi ktk nchi zote hizo.

Kenya ni nchi hatari sana kuishi, kufanya biashara, au hata kwenda kutalii kwa sasa hivi, ni bora salama zaidi kwenda Mogadishu au Bujumbura kuliko Nairobi.

Kwa wale ambao walikua bado hawana uhakika kuhusiana na hali ya usalama wa Kenya, ukweli ndio huu, mkiamua kuendelea kwenda, mfahamu wazi kwamba mnahatarisha maisha yenu.

HABARI NDIO HIYO.
 
Mkuu unamaanisha usalama gani?kumetokea nini?
 
Sheria za Tanzania zinaruhusu watu kuja kufanya tafiti huru?
 
Hii ni kuwataarifu watanzania wote kwamba, Kenya sio nchi salama kabisa kwa sasa, hii ni kutokana na utafiti wa kimataifa uliowahoji zaidi ya watu Elfu 20 waliotembea na kuishi ktk nchi zote hizo.

Kenya ni nchi hatari sana kuishi, kufanya biashara, au hata kwenda kutalii kwa sasa hivi, ni bora salama zaidi kwenda Mogadishu au Bujumbura kuliko Nairobi.

Kwa wale ambao walikua bado hawana uhakika kuhusiana na hali ya usalama wa Kenya, ukweli ndio huu, mkiamua kuendelea kwenda, mfahamu wazi kwamba mnahatarisha maisha yenu.

HABARI NDIO HIYO.
Hii ni uongo kwa Sababu U.N wangetoroka zamani kwani headquarters za U.N ( UNEP na UN Habitat) haziwezi kuwa katika nchi isiyo salama. Kenya ndio nchi pekee duniani iliyo na headquarters ya U.N south of the equator.
 
Sasa hilo Mimi halinihusu, Forbes ndio waliochapisha hizo taarifa, inawezekana Forbes siku hizi wameanza kuwa waongo, au wana chuki na Kenya.
 
Ni katika nchi sio salama kuishi. Uchafu wa mji Nairobi, wizi na ujambazi wa kukwapua na mengineyo meeeengi. What a shit place to be. Ngoja waje hapa wakanushe kwa kutumia keyboards zao.
Kwa wizi na ujambazi hiyo ni sawa niliwahi kuishi kule,madereva wa taxi walikuwa wanauwawa na kuibiwa magari.
So kule hata raia wenyewe wanaogopana mida ya kuanzia saa moja jioni kwa barabara hawasogeleani wanaachana umbali mkubwa.
 
Sasa hilo Mimi halinihusu, Forbes ndio waliochapisha hizo taarifa, inawezekana Forbes siku hizi wameanza kuwa waongo, au wana chuki na Kenya.
Ndio. Eti nchi ambayo ni moja kati ya nne duniani ambazo zina UN headquarters (USA, Switzerland, France, Kenya) ni hatari kwa usalama. Nani anaeza amini hiyo upuzi?
 
Kuamini au kutoamini havina na uhusiano wowote na ukweli au uongo wa taarifa husika. Ukweli au uongo wa matokeo ya tafiti unategemea na jinsi utafiti ulivyofanyika.

Kuamini au kutoaminika kwa taarifa kunategemea na "source" au media iliyotoa na kutangaza hiyo taarifa. Forbes ni miongoni mwa "Sources" zenye kuaminika sana hapa duniani kutokana na umahiri waliojijengea katika kufanya tafiti nyingi na kwa muda mrefu.

Dunia kwa ujumla itakushangaa sana kama utajaribu kupinga tafiti/taarifa za Forbes bila kutumia researches zenye kuaminika. Unapinga kwa kutumia kichwa chako, kumbuka kwamba, tafiti hupingwa kwa tafiti. Pole Sana.
 
Hayo ni maoni ya watu bali hamna utafiti wa kisayansi uliyofanywa. Hata mimi nikija TZ niulize watu elfu moja mji gani TZ ndio hatari kwa usalama. Nitapata majibu lakini hiyo sio utafiti wa kisayansi bali ni maoni ya watu tu. Kuna tofauti kati ya opinion survey and scientific research. Hio internation ni kundi la foreigners wanaotoa maoni yao kuhusu nchi mbalimbali. Maoni sio sawa na ukweli wa kisayansi. Maoni ni maoni tu na kila mtu ana maoni yake.
 
Kumbuka kwamba kuna aina mbili za tafiti 1)Scientific researches, 2) Community researches, lakini zote hizi hutumia scientific approaches.

Community researches ni maoni ya watu yaliyokusanywa na kufanyiwa upembuzi wa kisayansi, Community research is the act of collecting information by asking people and analyzing those information scientifically.

Tunaposema Diani ni beach bora kwa miaka miwili mfululizo, ni kutokana na kuulizwa watalii waliotembelea Diani na beaches zingine, mbona hiyo hupingi?.
 
Hii ni kuwataarifu watanzania wote kwamba, Kenya sio nchi salama kabisa kwa sasa, hii ni kutokana na utafiti wa kimataifa uliowahoji zaidi ya watu Elfu 20 waliotembea na kuishi ktk nchi zote hizo.
Kenya ni nchi hatari sana kuishi, kufanya biashara, au hata kwenda kutalii kwa sasa hivi, ni bora salama zaidi kwenda Mogadishu au Bujumbura kuliko Nairobi.
Kwa wale ambao walikua bado hawana uhakika kuhusiana na hali ya usalama wa Kenya, ukweli ndio huu, mkiamua kuendelea kwenda, mfahamu wazi kwamba mnahatarisha maisha yenu.
HABARI NDIO HIYO.
Asante kwa taarifa, hawa manyang'au sijuwi imekuaje?! 🤔 🙁😡🤬
 
Niliona makala kupitia clouds TV kipindi cha BBC kuna jamaa ni polisi anaitwa rashid anaua sio mchezo na kwa taarifa BBC polisi wameua watu mia nane kwa kipindi cha miaka miwili
 
Back
Top Bottom