MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema ukweli?
Hebu tuone huu ukweli aliousema na kwa nini haukuungwa mkono na chama chake hadi ikafikia kwenye uchaguzi wao wa ndani akaenguliwa kimizengwe!
Hebu tuone huu ukweli aliousema na kwa nini haukuungwa mkono na chama chake hadi ikafikia kwenye uchaguzi wao wa ndani akaenguliwa kimizengwe!