Ndio, amesema ukweli uliokuwa haukupaswa kusemwa hadharani.Kumbe ndio maana walimpitisha kwenue tanuri kubwa la moto, yasirini na yasiyofaa kuwekwa wazi upenuni yeye aliyamwaga uwanjani peupe pe!
Hivi kila teuzi ya Rais inahusiana na chama? Nadhani unachanganya mambo mawili tofautiDialo kala teuzi ya mama Samia hivi karibuni,unaishi dunia ipi?
Lengo la uzi wako ni kuhakikisha multiple users zenu zinamtukana hayati Magufuli,over,komaeni kwa kuwa mnalipwa,tuone kama mtabadilisha kitu