50yrs of operation, lakini mpo na ndege 3, tena chakavu zinafungwa sellotape, Hahahaha, Hahahaha,
Acha uongo Kenya mna ndege 6 tuZaidi ya ishirini
Please fungua uzi nyingine, hapa ushachapwa ten nil [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakenya wengi wamehamaki baada ya kuona baadhi ya ndege za KQ zimetumia gundi kushikilizia mikanda na BOMBA(pipes) katika "Engines za ndege hizo chakavu.
Wakenya wamekua wakitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii kuonyesha wasiwasi wao juu ya usalama wa shirika lao huku wengine wakiapa kutosafiri tena na KQ badala yake kuomba ATCL waanzishe " route"ya Nairobi ili waanze kutumia huduma bora toka katika ndege za kisasa kabisa za Airbus 200- 300.
KumbeWakenya wengi wamehamaki baada ya kuona baadhi ya ndege za KQ zimetumia gundi kushikilizia mikanda na BOMBA(pipes) katika "Engines za ndege hizo chakavu.
Wakenya wamekua wakitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii kuonyesha wasiwasi wao juu ya usalama wa shirika lao huku wengine wakiapa kutosafiri tena na KQ badala yake kuomba ATCL waanzishe " route"ya Nairobi ili waanze kutumia huduma bora toka katika ndege za kisasa kabisa za Airbus 200- 300.
Ulimaanisha nini hapo?Your welcome
Huwezi waona humu [emoji23][emoji23][emoji23] lakini ingekuwa ni uzi wa kuiponda Tanzania wangesha jaa kama inzi.