Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Pole bro , nahisi unacho kihisi maana nami iliwahi kujikuta hali kama yako, unaweza kuhukumiwa hapa na wadau lakini najua hauna dhamira mbaya dhidi yake , ila tu kuna hali fulani inakupata hamna namna unaweza kueleza ukaeleweka, tena wewe mlifika mbali hadi kuwa na mtoto, mimi sikua na mtoto naye ila nilipoongea nae mara ya kwanza baada ya kuachana kwa miaka kumi ilinitokea kama wewe.

Upendo wa kweli haufi aisee, kama kuna sababu ndogo ya kuachana usiachane na mpenzi wako.

Pia mwanaume ndie anaye penda na pendo huanzia moyoni, inapotokea pendo lile kuharibika moyo ama nafsi haikubali , hutengeneza kitu kisicho futika daima.


Yote ya yote bro Linda mahusiano yake na yako pia .
 


Ndoa 2 zipo matatani
 
Tatizo ulitegemea ulivyomuacha angechakaa na kuteseka , lakini imekuwa tofauti sahivi unamtamani tena....

Acha ufala...
Kunywa pepsi hapo kwa Mangi.
Watu wengi wakiachana wanatamani ex wao wapauke wadode. Ila siku akiona ex kaipata furaha yake na anafanya vizuri kwenye maisha anaanza kujirudisha ndio akamharibie tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…