Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Nimesoma comments humu comments zinazonishangaza eti kusema haina tatizo kukutana kisa mlipendana nyuma sijui nini.
Kaka acha huo UPUMBAVU wa kusema urudishe mawasiliano na Ex wako.
Madhara yatakayokuja kutokea ni makubwa kiasi cha kuvurugia maisha WATOTO ZAKO WOTE WA SASA NA WA KWANZA NA WATOTO WA MWENZIO PIA.
Athari itayokuja kutokea itakua sio himilivu hata kidogo.
Acha kuwa mbinafsi kutaka kuridhisha HISIA ZAKO ukasahau mustakabali wa familia yako na familia ya mwenzako.
Hata kama mlipendana na bado kuna kahisia kapo ila kabatwilishe kwa ajili ya MUSTAKABALI wa familia zote mbili.
Maana sidhani kama mumewe ana uelewa huo atapokuja sikia mnarudisha mawasiliano ilhali mlikua wapenzi.
Acha hii kitu bro unatengeneza bomu moja kubwa sana litaokuja kutesa familia mbili kwa wakati mmoja.
ACHA UBINAFSI NARUDIA ACHA UBINAFSI TIZAMA WENZAKO USIENDEKEZE NYEGE ZAKO SHABBASH😡😡😡😡😡😡😡
 
Unachokitafuta utakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…