Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

***** ndo maana sishaurigi mtu aoe mwanamke lillilozalishwa, Hilo ni Dem la mtu, wakikutana na ex wake wanakumbushia hata kama wameolewa au kuoa
 
Napitaga kimyakimya lakini😂😂🤒
Mara ya mwisho kupita kule 2019, Kuna siku nilimtembelea uncle wangu tena ni Mchungaji nikapiga Chabo kwenye simu yake nikaona yupo kwenye Kimasihara. Alikuwa anabadilisha pozi za kukaa aisee na vicheko vilikuwa vingi kama anaangalia comedy 😂😂😂😂
Rick boy Aishi sana aisee
 
Kemea pepo la kuzini, shetani anakutafuta usikubali mwaya
 
Unataka kumlomba again?
 
[emoji3064][emoji3064]
 
Kemea pepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…