Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

My dear usiombe umpende mtu halafu mtengane, kisha mkutane tena baada ya miaka mingi, hata kama ulimfumania hundred percent hutakumbuka hilo zaidi ya yele mema mlioshikishana, hii ipo sana kwa sisi wanaume.
Ndivyo ninavyojisikia.
Sisi tuliachana kwasababu alikuwa na utoto mwingi sana by that time.
 
Back
Top Bottom