njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI
Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu na yeye atakuwa akichombeza maneno kama mrisho mpoto
Kwa mfano msanii mbongo fleva anaimba..katokea Ghanaaaa yeeeeeee, the greatest Hajj Manara anachombeza kwa kuongea kama mpoto...NI MTOTO WA MAMA EFUE ZEE LA KUWAKERA WAMESHINDWA KUMLIPA NA KUMLISHA VIZURI KACHOKA KUNYANYASWA KARUDI NYUMBANI
kama hivyo yaani dah what a great idea ila sasa wananchi mnaniangusha , yaani msimu mpya unaanza bado mnatumia lilelile neno MAKOLO? Kolo kwa kiswahili fasaha cha bakita ni MJOMBA kama mlimnaanisha jezi zina makolomakolo nafikiri jezi zenye makolokolo zinajulikana ni zipi
Majina yote makali hutokea kwenu, gongowazi, utopolo, makolo...fanyeni fanyeni basi hata kesho muachie jina jipya maana the greatest Manara kajaribu manyonyo fc na mandonga fc zimebuma