HATARI SANA: Mashirika Yatangaza Kufirisika! - Soma.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika.

Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi.

Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
 
Ha ha ha. Wameona kuna kitu kitawakumba punde
 
Hawajasema ni natural disasters kama kawaida yao
Daa Mungu mwema aise
Yaani California imegeuka Gaza ya bila mabomu wala ndege za kivita ila inawaka
New project under big skills!.
 
Back
Top Bottom