Ha ha ha. Wameona kuna kitu kitawakumba pundeKampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika.
Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi.
Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
Ndio wanasema hivyoNew project under big skills!.