nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
nimecheka sana mkuuc m2mie condomu? wakati unakatika unaona utamu na kumcfia mpenzio. mimba unaona haramu. na kwa taarfa yake mtoto atakosa na atadisco kinoma na hakoo kadegree hapati
Wakiamua kufuatilia ni rahisi kumkamata! sijui sheria zikoje pale..

block L school gani? social,educ,humanity au afya, au informat
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!
Good News!Wamezidi pale,mtoto n mzima wakuu

Hakuna sababu yoyote itakoyoweza ku justify kitendo hiki. Pamoja na kwamba alijua madhara ya hii issue lakini pia angeweza kumpleka mtoto mahali akalelewa au hata "kumtelekeza" mahali salama ili apate msaada badala ya kunuia kumuua. Wengine wanaomba wawapate wengine wanawaua...dunia tambala bovu aisee!Sijui ni coment kitu gani...aliefanya hio kitu angetafutwa aeleze sababu ya kutupa mtoto ni nini .wakati anafunua hio nanii yake hakujua matokeo yake nini ukizingatia ni mtu ambae tayari ameshajitambua je wengine watafanya nini ambao hata shule hawajaenda..
Mshukuru mama yako hakuwa na akili ya kipuuzi kama yako! :frusty:Ajal gan hiyo bora angemtoa akiwa na wiki kuliko kumfanya alichofanya