Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

c m2mie condomu? wakati unakatika unaona utamu na kumcfia mpenzio. mimba unaona haramu. na kwa taarfa yake mtoto atakosa na atadisco kinoma na hakoo kadegree hapati
nimecheka sana mkuu
 
kula papuchu taaam, ila mtoto mh! uyo atakuwa muuza papuchu mjini dom hata aliyempa mimba hamtambui wala hamfahamu.
 
mambo haya madada wanafanya ila ni dhambi kwa Mungu ,kuna kipindi tukio kama hili liliwahi kutokea pale MABIBO HOSTEL madada wanaroho ngumu alafu mtu anajiita msomi ohoo mimi nasoma chuo cha taifa shit, kama mnaona hamuwezi mkatumia contraceptive methods plz stay away from sexual intercourse, hii ni laana kwa Mungu.
 
Kavu hizo....manabanduana kavu watoto mnatupa
 
c waniletee mimi Jamani kwa kosa gani alilofanya huyo baby too bad wangejua what it means to have a child wasingemtupa.
 
inflamable poleni wadada wanatuaibisha nahs atakuwa hayupo anakaribia chalinze huyo utendaji
 
Sijui ni coment kitu gani...aliefanya hio kitu angetafutwa aeleze sababu ya kutupa mtoto ni nini .wakati anafunua hio nanii yake hakujua matokeo yake nini ukizingatia ni mtu ambae tayari ameshajitambua je wengine watafanya nini ambao hata shule hawajaenda..
 
Plan ni nzuri,ila mmh kwa Tanzania hii watoto wote wengewekwa hapo "maisha magumu sana"
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!
 
Ngoja nimpigie simu nyumba ndogo yangu pale udom maana ni juzi tu aliniambia ana ka child na me nikamruka. Asije akawa kakaremove. Yelewiii!!
 
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!

Sasa si bora angemtelekeza mahali ambapo mtoto angepata msaada?
Sasa alitaka kumuua ili iweje? halafu baadae Mungu akimsaidia kufunga uzazi
anaanza kulalamika na kusumbua watumish wa Mungu na madaktari
What a fool! 😡
 
Tatizo lina upande wa pili wa shlingi ambao wengi hawajauona. Iwapo sheria za nchi zingekuwa zinaruhusu kutoa mimba, wanawake na wasichana wengi wasingehatarisha maisha yao...
 
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!

Hivi unasahau kuwa sie miafrika ni mijitu mikatili sana tofauti na tunavyoonekana?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sijui ni coment kitu gani...aliefanya hio kitu angetafutwa aeleze sababu ya kutupa mtoto ni nini .wakati anafunua hio nanii yake hakujua matokeo yake nini ukizingatia ni mtu ambae tayari ameshajitambua je wengine watafanya nini ambao hata shule hawajaenda..
Hakuna sababu yoyote itakoyoweza ku justify kitendo hiki. Pamoja na kwamba alijua madhara ya hii issue lakini pia angeweza kumpleka mtoto mahali akalelewa au hata "kumtelekeza" mahali salama ili apate msaada badala ya kunuia kumuua. Wengine wanaomba wawapate wengine wanawaua...dunia tambala bovu aisee!
 
Back
Top Bottom