Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

pale ng'ox wanaume tulotoka infor na social pale blc l tuliogea kwenye madishi kama mabeibe nadhani, mababy wanaotupwa wanabebwa mumo mumo
 
Hizi ndio dalili za ukatili wenyewe

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

watu wengine makatili sana, pale blc L ukenda huwez ongea bathroom lazma uongee tena dem wako anakumwagiamwagia maji pale chumbani.kwenye chemb yenu, kesho mwanamke anamimba unaanza kukataa c ukatili ni nin
 
Hili si suala la kuchekea wala kuoneana aibu, hebu wenye dhamana wachukue jukumu la kufuatilia ili apatikane mwenye kosa na sheria zichukue mkondo wake mana hata katiba ya nchi hairuhusu unyama huu!!!!!!
 
sheria ifate mkondo wake wakiweka ulinzi mkali watamjua tu
 
Ajal gan hiyo bora angemtoa akiwa na wiki kuliko kumfanya alichofanya

So sad bora angetoa ikiwa ndogo, kulikuwa na haja gani ya kuvumilia stress zote za mimba then aje kumtupa kashazaliwa? Mtoto akishazaliwa huwa anapendwa na kila mtu hata aliyemkataa
 
Hili si suala la kuchekea wala kuoneana aibu, hebu wenye dhamana wachukue jukumu la kufuatilia ili apatikane mwenye kosa na sheria zichukue mkondo wake mana hata katiba ya nchi hairuhusu unyama huu!!!!!!
Kutokana na Semister (Mihula) Hii mimba katoka nayo nyumbani na wala sio ya Chuoni
sasa kuna mengi ya kujiuliza kabla ya kuchukua hatua ingawa keshatoroka na mtoto kamwacha mzima
  • Huyo mwanamume wake km ni College mate, Tutor au Waden wa hapo Education abebeshwe hako katoto
  • Kamani ni wa huko kwao Chalinze apelekewe tu.
  • Huyo Bint anwani zake mbona zipo wazi arudishwe aje awataje wote na abebe mzigo wake
 
mh jaman hyo co tabia nzuri,inabidi tujielewe xana vijana wa xaxa!!!
 
baadhi ya wanawake ni wakatili sana!!

Mimi nadhani mama na baba wa huyo mtoto mchanga wote wanastahili hukumu ya jehannam kama hawatakumbuka kumrudia Yehova na kuungama dhambi yao, maana watakuwa wamekubaliana kumtupa mtoto wao. Sasa kwa nini walifunga ndoa???
 

^^
Haya maendeleo ndio mnataka mtuletee Tanzania?
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…