Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Wewe na nani? Jisemee peke yako ebo!Hivi unasahau kuwa sie miafrika ni mijitu mikatili sana tofauti na tunavyoonekana?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani? Jisemee peke yako ebo!Hivi unasahau kuwa sie miafrika ni mijitu mikatili sana tofauti na tunavyoonekana?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wewe na nani? Jisemee peke yako ebo!
Hizi ndio dalili za ukatili wenyewe
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wamezidi pale,mtoto n mzima wakuu
Ajal gan hiyo bora angemtoa akiwa na wiki kuliko kumfanya alichofanya
Kutokana na Semister (Mihula) Hii mimba katoka nayo nyumbani na wala sio ya ChuoniHili si suala la kuchekea wala kuoneana aibu, hebu wenye dhamana wachukue jukumu la kufuatilia ili apatikane mwenye kosa na sheria zichukue mkondo wake mana hata katiba ya nchi hairuhusu unyama huu!!!!!!
baadhi ya wanawake ni wakatili sana!!
mkuu don't speak of behalf of everybody....Hivi unasahau kuwa sie miafrika ni mijitu mikatili sana tofauti na tunavyoonekana?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sidhani...kubeba ujauzito nako si lelemama!Plan ni nzuri,ila mmh kwa Tanzania hii watoto wote wengewekwa hapo "maisha magumu sana"
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!
Kwani we unaonaje?^^
Haya maendeleo ndio mnataka mtuletee Tanzania?
^^
Wamezidi pale,mtoto n mzima wakuu