Nch iruhusu abortion maana hamna haja ya kujitesa na mwisho ukaua.Hi ni kwa kuwa hata kama tutaanzisha babybox kama germany tumeshindwa kwa yatima na watoto wa mtaani tayari
Mi naona itakuwa njia nzuri itakayookoa maisha ya vichanga wengi wanaotupwa na kuuliwa bila hatia!^^
Jibu swali
^^
Mi naona itakuwa njia nzuri itakayookoa maisha ya vichanga wengi wanaotupwa na kuuliwa bila hatia!
Sidhani...kubeba ujauzito nako si lelemama!
Most Stupid Comment of the year!Nch iruhusu abortion maana hamna haja ya kujitesa na mwisho ukaua.Hi ni kwa kuwa hata kama tutaanzisha babybox kama germany tumeshindwa kwa yatima na watoto wa mtaani tayari
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!
mh huyo mwanamke mtata kweli, kalikuwa bado hai ?
hapo akiulizwa ataanza nataka kufanya diet tumbo langu lilikuwa kubwa kwa saababu ya bia na nyama choma.... baadhi ya wanawake wanavitambi sasa uwezi jua ni tumbo la ulafi au ni mimba... aisee hii si sawa..,.. huyo dada akufanya sawa ...
Kulea mimba si kazi, kazi kulea mtoto.......
asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu....
hapo lazima utupe mtoto kwenye "dustbin" iwapo haujajiandaa ama ufuate mfumo kwa Kijerumani
si mfanye diet wakati wa kugegedwa basi!! diet nzuri nyie kwenu ni kutoa mimba tuu??
you are boring girls!