Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

Nch iruhusu abortion maana hamna haja ya kujitesa na mwisho ukaua.Hi ni kwa kuwa hata kama tutaanzisha babybox kama germany tumeshindwa kwa yatima na watoto wa mtaani tayari
 
Mi naona itakuwa njia nzuri itakayookoa maisha ya vichanga wengi wanaotupwa na kuuliwa bila hatia!

^^
Aisee,,navyoijua nchi hii natamani hata kutoa chozi
Pole Tanzania
^^
 
Kulea mimba si kazi, kazi kulea mtoto.......
asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu....
hapo lazima utupe mtoto kwenye "dustbin" iwapo haujajiandaa ama ufuate mfumo kwa Kijerumani
Sidhani...kubeba ujauzito nako si lelemama!
 
Nch iruhusu abortion maana hamna haja ya kujitesa na mwisho ukaua.Hi ni kwa kuwa hata kama tutaanzisha babybox kama germany tumeshindwa kwa yatima na watoto wa mtaani tayari
Most Stupid Comment of the year!
Kama ingeruhusiwa kitambo possibly usingekuwa unaandika upuuzi huu!
Am embarrassed that you are a Tanzanian too 😡
 
Wakague kei za mademu wote chuo watamnasa mmoja.
 
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!

Hiyo babybox ikija Tz itakua inajaa ndani ya masaa machache.
 
mh huyo mwanamke mtata kweli, kalikuwa bado hai ?

hapo akiulizwa ataanza nataka kufanya diet tumbo langu lilikuwa kubwa kwa saababu ya bia na nyama choma.... baadhi ya wanawake wanavitambi sasa uwezi jua ni tumbo la ulafi au ni mimba... aisee hii si sawa..,.. huyo dada akufanya sawa ...

si mfanye diet wakati wa kugegedwa basi!! diet nzuri nyie kwenu ni kutoa mimba tuu??

you are boring girls!
 
Kulea mimba si kazi, kazi kulea mtoto.......
asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu....
hapo lazima utupe mtoto kwenye "dustbin" iwapo haujajiandaa ama ufuate mfumo kwa Kijerumani

au alidhani anatupa pedi?? teh teh!! natania jamani!
 
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!

mmmh, kwa tz hilo box lingekuwa linajaa kila siku nahisi.
 
pole yake jamani kiumbe cha Mungu, kweli tunasema hakuna km mama ila wengine ht hawastahili hiyo sifa kwakweli!
 
Hii ni mara ya pili sasa, mwaka jana pia aliokotwa mtoto kwenye dustbin collage of humanities akiwa ameshakufa
na alifukiwa palepale chuo, aliefanya kitendo hicho alijulikana ila hakuna hatua yoyote iliochukuliwa
R.i.p little babies.
 
Back
Top Bottom