M. Mwakalonge
Member
- Dec 2, 2012
- 49
- 4
Kwa Mujibu wa sheria ya makampuni ya mwaka 2002, vifungu vya 128, 132 na 438 kila kampuni iliyosajiliwa Tanzania inawajibika kupeleka taarifa za mwaka ikiwa ni pamoja na taarifa za mahesabu yaliyokaguliwa kwa msajili wa makampuni (BRELA). Serikali kupitia BRELA wametoa tangazo kwa makampuni yote yapeleke taarifa zao, Mwisho wa kufanya hivyo ni Tarehe 31 December 2014. Kushindwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria, wamiliki na wakurugenzi watafikishwa mahakamani au kampuni kufutiwa usajili au vyote kwa pamoja.
Waone Anjoa Company Limited (Business Consultancy Company) kwa huduma na ushauri kuhusinana na suala hili.
Wasiliana nasi kwa,
Waone Anjoa Company Limited (Business Consultancy Company) kwa huduma na ushauri kuhusinana na suala hili.
Wasiliana nasi kwa,
- Simu: 0759-692024 au 0688-510564
- Email: info@anjoa.co.tz au anjoa_limited@yahoo.com
- WatsApp: 0759-692024
- Au fika ofisini kwetu, Dar es Salaam, Kinondoni – Manyanya, Togo street, plot number 336, ghorofa ya pili, Jengo lililo karibu na Togo tower.