Hatari ya kupotea kwa usingizi

Hatari ya kupotea kwa usingizi

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,450
Reaction score
19,184
1000000564.jpg

Watalaamu wa Afya wanaelezea umuhimu wa Usingizi kuwa una faida zake, lakini utakubaliana nami kuwa Usingizi umekuwa adimu sana siku hizi.

Watu wengi hawapati Usingizi Kwa kiwango kile kinachoelezwa na watalaamu.

Wakuu Mnadhani ipi ni sababu?
1000000565.jpg
 
Jisemee wewe mi nionavyo watu wakipata nafasi ya kulala huitumia ipasavyo maana kwanza, usingizi sio ombi ni hitaji la mwili.. utapata shida yakutokupata usingizi ikiwa mwili wako unakasoro fulani.. mi naona changamoto ni majukumu tu ndio yanawafanya watu wasiwe wanalala kwa wakati lakini sio kwamba watu wanapoteza usingizi!, usingizi upo tu kama unapitia changamoto yakutokupata usingizi basi waone wataalumu ndugu.
 
Ushauri utazingatiwa
 
Stress
Majukumu
Over expectations
Uchumi mgumu

Unalalaje wakati mambo hayaendi, tumekuwa na stress kama watu wa magharibi wakati waafrika tulikuwa tunaishi kwa raha na amani, bills everywhere, fees, society. Mambo ni mengi.
 
Back
Top Bottom