Hatari ya kupotea kwa usingizi

Alafu unakuta makapuku kama sisi nao tunakosa usingizi, wa kina Elon musk wao wanakesha kutengeneza gari zinazo weza kupaa, sie tunakosa usingizi kwa kuangalia reels?

Tumelaaniwa sie
 
Shida ya usingizi sio sana... Ila tatizo ukikata usiku ndio bhas tena nabakia macho wazi hadi asubuhi muda wa kuamka. Hii inafanya niogope kulala mapema. Kwa sababu ukikata saa Saba maana yake ni kujigeuza geuza tu hadi muda wa kudamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…