Hatari ya kusikia kwa vijana sababu ya earphones

Hatari ya kusikia kwa vijana sababu ya earphones

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
"More than 1 billion young people globally risk developing hearing loss through exposure to loud music through personal audio devices.”

Zaidi ya vijana Bilioni Moja duniani wako ktk hatari ya kupoteza uwezo wao wa kusikia kutokana na kuruhusu sauti kubwa sana za muziki zipite masikioni mwao kutoka kwenye earphones. JARIDA LA AFYA LANCERT LINASEMA.
https://www.thelancet.com/journals/lancet/article/PIIS0140-6736(19)30403-9/fulltext

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka kama 10 iliopita nilikuwa kituo cha bus na headphone zangu akaja babu wa kizungu akaanza kunipigisha Stori. Mwisho akasema ' ningekuwa kijana ningewekeza kwenye hearing aid devices kwasababu miaka 20 ijayo kutakuwa na hitaji kubwa sana la hearing aid devices'
 
Ulilifanyia kazi hilo wazo ?

By the way, habari ya kupotea jukwaani
 
[emoji23][emoji23][emoji52] siachi yenyewe hapa nasikiliza Kitu cha Inception by A.walker sauti hadi mwishooooooooooooooooo acha yafe tuu maana yashaota hadi sugu wallahi ,nimeenda sana hospitali wamesema niyaache hivyo hivyo na niendelee kula fleva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa taaluma hii(Utangazaji wa redio )lazima uvae headphones dingilae,apo sijui unasemaje?au tuache kazi?
 
Sio Earphone tuuua ata kufanya kazi kwenye makelele kwa mda mrefu unapunguza uwezo wa sikio kuskia, kama vile garage, viwandani, bar na wale wenzangu na mie wa night club music

Kitu chochote kikizidi ni sumu kwa afya tumia kwa kadri sio kuacha. A.k.a too much is harmful
 
Miaka kama 10 iliopita nilikuwa kituo cha bus na headphone zangu akaja babu wa kizungu akaanza kunipigisha Stori. Mwisho akasema ' ningekuwa kijana ningewekeza kwenye hearing aid devices kwasababu miaka 20 ijayo kutakuwa na hitaji kubwa sana la hearing aid devices'
Aliona fursa huyu!
 
Vipi kwa taaluma hii(Utangazaji wa redio )lazima uvae headphones dingilae,apo sijui unasemaje?au tuache kazi?
Zile ni studio monitor infact ni sawa na monitor za musicians wanpokuwa jukwaani wakiperform namna zilivyoundwa audibility yake haidhuru sana masikio...sasa hivi vi earphone vya mchina vya elfu 3 3 ukiweka sikioni utadhani nyuki wanaingia sikioni kumbe ndio sauti nadhani hapo tatizo linakuwa kubwa zaidi!
 
Niko hapa namsikiliza Khalid na kazi yake ya better kwenye earpiece zangu

Too much of everything is harmfull
 
Back
Top Bottom