jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Suruhisho ni viwanda tu.Wanunuzi hufuata wapi bidhaa zipo. Watu wanawafuata wamachinga kwa sababu wapo hapo. Mrundikano wa machinga karibu na maduka ni uthibitisho kuwa wanauza bidhaa za hao wenye maduka. Wakienda eneo na wasifuatwe elewa bidhaa zao zinapatikana maduka walipo kuwa, na watafute kazi ingine ya kufanya. Nguvu kazi hiyo ielekezwe kwenye uzalishaji na nchi itasonga mbele.
#MaendeleoHayanaChama