Hatari ya machinga

Suruhisho ni viwanda tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa Hali ninayoiona kwa hapa Mbezi mwisho itabidi hata risasi zitumike labda apigwe machinga mmoja risasi ya kichwa ndo wanawezaelewa lakini kwa maneno mepesi tu hawa watu ni ngumu kuwatoa itakuwa tatizo kubwa Sana.
na Mungu alivyo mkubwa hiyo risasi itakata kona na itakupata wewe pimbi mmoja uliye na roho kama ya fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala la kuwatoa machinga barabarani ni swala linalohitaji mkakati wa muda mrefu na sio kauli ya siku moja na kutumia nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kakwambia nani kuwa mimi ni machinga we kiazi mviringo usiyekuwa na problem solving mindset

Sent using Jamii Forums mobile app
Du! Mkuu hongera kumbe wewe ndo think tank wetu tuliyebaki nae? Samahani sikujua nisamehe mkuu. Unajua nyie mliobarikiwa hiyo problem solving mindset ni asset kubwa sana kwa sasa. Mkuu tusaidie kututatulia suala lenu hilo kwa umahiri
 
Machinga ni matokeo ya kushindwa kwa sera za ccm kuhusu ajira na uwiano wa raslimali tele zilizojaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…