Wanarekan mambo yao kweli kama unaakili na unafikiria vyakutosha uwezi wapenda.
Niwanyonyaji wakubwa wa dunia ya leo wanawanyonya hadi wazungu wezao.
(Wamerekan wamepunguza uzarishaji sana na daima kwenye biashara za kimataifa utaona wao wanadificit balance, lakin pesa yao bado ipo imarasa sana sababu kubwa ni moja
Dunia yote inafanya kazi kuijenga marekan.
Nitatoa mfano
Leo tanzania inafanya biashara na kwenya tutatumia dola, Africa inafanya biashara na china itatumia dollar, bado nchi za ulaya watatumia dollar japo wana Euro.
Hi inamaana kwabwa wao kazi yao ni kuprit pesa tuu na kusambaza dunian kwakununua bizaaa nje kwenye masoko ya mitaji capital market na masoko mengine.
Dunia ikija kustuka na kupata mbadala mfano kureplace dollar na euro wamarekan jeur yao inawaishia.
Marekan anaiitaji zaid dunia kuliko dunia inavyo muitaji yeye.
Ndio maana ukisia Iran wamemuwekea vikwazo na kuacha kutumia pesa yake jambo hilo likija ungwa mkono na taifa kama china dollar itapoteza nguvu sana na uwenda mambo kwao yakawa mabaya zaidi