Tetesi: Hatari ya North Korea

Tetesi: Hatari ya North Korea

Screenshot_20170525-213753.png
 
Wewe Naye Umechanganya Mambo Sadam Hakupigwa Na Usa Bali Alipigwa Na Nato
 
US atie mguu wake hapo NK kama atatoka salama bila kuathirika kiuchumi na kuendelea kuwa super power basi, binafsi nitasema hakuna wa kumsimamisha US.

Ila usindi wa US ktk kila jambo sio ushindi halali bali wakitapeli tuuu. Ndio maana anaogopa simama pekeyake kwenye vita hata na mambo mengine.

Mataifa hatar dunian kwakuwa na technolojia kubwa ni japan na ujeruman.
Haya mataifa kama yangelekeza nguvu kwenye siraha za kivita leo yangekuwa mengine ktk hii dunia, lakin baada ya vita ya kwanza na yapili ya dunia haya mataifa yalizuiwa yasitengeneze siraha za maangamizi na yalitumia technologia zao kukuza uchum.
Hapo utaona baada ya WW2 hizi nchi mbili zilikuwa uchum kwa kas ya ajambu ni sawa na ukuaji wa uchum wa china kwa miaka 10 iliyo pita.
Juhudi za kuzuiwa kutengeneza siraha zilipigwa debe na marekan nae akachukua jukum la kuilinda japan.
Kwenye eneo la vita vya majin leo hii hakuna ambae angemsogelea japan.

Nchi yeyote inavyo tengwa na dunia nipo inakuwa na uchungu wakutafuta kila sababu yakujikomboa hapo ndipo technologia inapo anza kukuwa, NK ni nchi ambayo watu wake wanaakili ya asir na wanatafuta solution ya nchi yao kila siku uwez wachukilia kama nchi zetu ambazo ukiwa na mafuta au dhahabu basi wewe unawaza kununua kila kitu marekan na ulaya maana unajiona una hela yakufanya kila kitu.

Ndio maana mfanya biashara anakuwa na pesa nyingi kuliko mfanya kazi aliye ajiliwa maana mfanya kazi anajua mwisho wa mwezi lazima pesa itaingia wakati mfanya biashara anajua akifanya mchezo atalala na njaaa. MATATIZO NDIO YANAKUZA AKILI
 
Wanarekan mambo yao kweli kama unaakili na unafikiria vyakutosha uwezi wapenda.
Niwanyonyaji wakubwa wa dunia ya leo wanawanyonya hadi wazungu wezao.

(Wamerekan wamepunguza uzarishaji sana na daima kwenye biashara za kimataifa utaona wao wanadificit balance, lakin pesa yao bado ipo imarasa sana sababu kubwa ni moja
Dunia yote inafanya kazi kuijenga marekan.
Nitatoa mfano
Leo tanzania inafanya biashara na kwenya tutatumia dola, Africa inafanya biashara na china itatumia dollar, bado nchi za ulaya watatumia dollar japo wana Euro.
Hi inamaana kwabwa wao kazi yao ni kuprit pesa tuu na kusambaza dunian kwakununua bizaaa nje kwenye masoko ya mitaji capital market na masoko mengine.
Dunia ikija kustuka na kupata mbadala mfano kureplace dollar na euro wamarekan jeur yao inawaishia.
Marekan anaiitaji zaid dunia kuliko dunia inavyo muitaji yeye.
Ndio maana ukisia Iran wamemuwekea vikwazo na kuacha kutumia pesa yake jambo hilo likija ungwa mkono na taifa kama china dollar itapoteza nguvu sana na uwenda mambo kwao yakawa mabaya zaidi
China akiacha kutumia Us dollar anaanguka kiuchumi siku hiyo hiyo hela yake dhaifu sana haina thama ni.
 
China akiacha kutumia Us dollar anaanguka kiuchumi siku hiyo hiyo hela yake dhaifu sana haina thama ni.

Ni kweli ulisemalo na tatizo hilo wachina wamisha gundua saiz wanapunguza reserve ya dollar na kuongeza reserve ya currency zingine kama Euro, Yen Canadian dollar na zingine. Hi ni kutokana na sababu kubwa moja kwanza kupunguza imported inflation inayo sababishwa na US kwa kuprint notes nyingi kwakuwa yeye ndio supplier mkuu wa reserve dunia, kila nchi anatumia US dollar zaid kama reserve.

Ila uchumi haupimwi kwa dhaman ya pesa bali uwezo wa nchi kufanya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
China sasa ameweza kuongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa sana kutokana na uwekezaji mkubwa alio ufanya ktk miundombino na elimu, ndio maana net export ya china ni kubwa sana tafuta data world bank utaona, na US uzalishaji umepungua sana wafanya biashara wengi wa US wamekuwa kama madalili wa dunia sababu ni moja kubwa kwamba.
Soko la mtaji kubwa na kuaminika lipo US na mataifa mengi yanawekeza kwenye soko la mitaji US ili wapate faida (stock market) jambo hili linawafanya wafanya biashara wa US waweze kupata mitaji mikubwa kutoka nje na wao wanatumia kuwekeza nje ya US.
Huu ni ujinga ambao nchi nyingi ikiwa na china wanaufanya
Kama wangekuwa wanawekeza kwenye masoko yao tuu ya mitaji inamaana uwekezaji china ungekuwa maradufu.
Lakini pia tatizo hilo wao wanajua ndio maana wamekimbilia sana Africa na nchi za Asia kuwekeza kutokana na gharama ndogo ya uzalishaji na faida kuwa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom