Hatari za kuchelewa kuoa

Mbona wewe unalazimisha watu waoe kwenye umri unaoutaka wewe
 
Bahati nzuri dini zote kubwa ninaelimu nazo kidogo.
Embu niambie wewe unaamini katika kitabu kipi Kama Muongozo wako wa maisha, au huna tofauti na huyu Paka ninayemfuga hapa?
Acha upumbvu kwa hiyo mtu asipoamini katika dini au vitabu unavyoviamini wewe ni paka?
 
Ukweli kwa wote na sababu nimetoa mkuu.
Si vizuri kuleta kiumbe duniani ukijua fika uwezo wa kukifanya walau kiwe na maisha bora baadae huna, ni bora usikilete tu.
Unawapangia watu maisha ukiwa kama nani
 
Mtu akishabalehe anatakiwa aoe au kuolewa

Na kubalehe ni miaka 18 kwahio hata 25 31 mtu anakua ameshachelewa zaidi ya yote hili ni suala binafsi
 
Yesu hakuoa, kwa hyo naye hakuwa civilized?

Wagunduzi wengi kama akina newton na hawakuoa kwa hyo nao hawakua civilized??

Mapadri hawaoi, kwa hyo nao sio civilized?

Mzee, what is civilization kwako? Unadefine vp civilization?
Apunguze ujuaji maana hata nabii Yeremia Mungu alimnyima kuoa kutokana na hali zilizokuwepo
 
Hivi ninyi watu mnajikuta kina nani kwa mfano? Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako unamlinganisha na mnyama?? Mnapata wapi mamlaka ya kuwafanyia wengine maamuzi?
 
Hivi ninyi watu mnajikuta kina nani kwa mfano? Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako unamlinganisha na mnyama?? Mnapata wapi mamlaka ya kuwafanyia wengine maamuzi?

Hakuna aliyewafanyia wengine maamuzi, kosa letu kuwa-categorize na wanyama ikiwa wanafanya wafanyavyo wanyama?

Mtu kuwa tofauti sio Kosa Ila utofauti huo utamfanya aingie kundi jingine iwe la hadhi ya juu au ya chini.

Huwezi kufanya Mambo Kama Mbwa alafu ukiitwa Mbwa uchukie. Ndio shida ya wendawazimu.
 
Acha upumbvu kwa hiyo mtu asipoamini katika dini au vitabu unavyoviamini wewe ni paka?

Hakuna Binadamu asiyeamini na wala hakuna mtu asiye na dini akaitwa Mtu,
Kitu pekee kinachomfanya binadamu aitwe mtu ni Utashi na Imani.
Akikosa kimoja anakuwa Hana tofauti na Paka au Ngedere.

Sasa wapumbavu ambao hawajafundishwa mambo madogo Kama hayo na wazazi wao ndio mnakuja kushangaa dunia ukubwani.

Huwezi jiita mtu bila Utashi na Imani.
Utu wa binadamu unalindwa na hayo mambo mawili.

Sasa wewe utuambie Utu wako ni upi pasipo IMANI.
NA Kwenye Imani ndio kuna kitu inaitwa Miiko, maadili, na baadhi ya tamaduni zingine.

Mwanadamu ni mnyama akifuata SILIKA ambayo hata Wanyama wanayo,
Lakini anakuwa Mtu kutokana na UTU uliojengwa na UTASHI na IMANI.

Ndoa ni sehemu tuu ya vipengele vinavyomfanya Binadamu kutofautiana na Wanyama endapo atafuata IMANI kulingana na taratibu.
Sasa wewe unataka usipangiwe Kama hutaki kupangiwa kuwa Mbwa basi ili uwe na uwezo wakumpanda hata Dada au Mama yako.

Tatizo Vijana siku hizi hamjalelewa na wazazi, na Kama mmelelewa na wazazi basi HAO wazazi hawakufanya wajibu wao
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Tatizo wabongo wanakimbilia kuzaa ili watoto waje wawatunze [emoji1787]

Yaani mtoto anapewa mzigo wa kuja kulea mzazi ambae hakujipanga,hakua na plan.
Ndio maana Afrika umasikini hautaisha

Watu weupe huu ujinga hawana
Tena hii nishida yakoo nyingi sana, wazazi wanashindwa kupanga maisha nakutimiza majukumu Yao yakuomarika kiuchumi,wanaamua kuzaa rondomly Tu kisha kuwaintimidate watoto nakuwapa pressure ili waje wawatunze baadae
 
Kweli kabisa
Nami nichangie kwanza kiukweli jitahidi uoe ukiwa na kitu yaani kiuchumi uwe vizur ndoa haitaji story telling inahitaji vitendo pia haya maneno ni ya kujifariji kuwa ndoa sio pesa sasa huyo mke utamtunzaje na huna pesa kitakachotokea ukioa na huna pesa mke utashindwa kumtunza atachoka sana tena sana kisha itakulazimu utafute michepuko ambao hao michepuko ili kurahisisha ila mke wako umemchoka ila pia uzae bila kutegemea mtoto ndio aweze kukusaidia uzeeni hilo ni tatizo kubwa yaani siku hiz wazazi wengi utawasikii mtoto nimezaa mwenyewe lakini hanisaidii kwani ulizaa ili mtoto akusaidie au ulizaa umsaidie mtoto awe na malezi bora kukusaidia.

Kutokusaidia ni maamuzi ya mtoto na ndio maana siku huwez sikia mtoto kapewa radhi kwasababu wazazi wa siku hizi ni tegemez sana kwa watoto wao yaani mzazi anazaa mtoto hata sare za shule kashindwa kununua sasa ulizaa vya nini bora tu ungeacha maana huko ni kumtesa mtotohalafu unataka kutoa radhi haitoshika pia kuna watoto wengi wa mtaani wanaohusika ni wazazi hawahawa yani wazaz wakishaona maisha magumu wanakimbia familia KITU KIBAYA SANA sikatai kuwa tegemezi ila wazazi kwanza tujitahidi kuwa na mali ili mtotoaweze furahia maisha
 
life expectancy ya mtanzania ni miaka mingapi vile?
 
una point, sema no one knows tomorror, kuna walio oa hawana kitu na mafanikio yakaja baada ya ndoa na kuna ambao walioa wana kila kitu na umasikini ukawafata. Japo ndoa ni baraka , na mbingu hushangilia pale watu wanapooana.
 

watoto kumsaidia mzazi sio lazima ni uamuzi wao ila wazazi wachache wakitanzania wanafahamu hilo, na watoto wanasaidia mzazi wakikumbuka kipindi mzazi alivyokuwa ana sacrifice kwa ajili yao wanalipa fadhila... sasa mtu katelekeza watoto halafu analia watoto hawamjali

Ndio maana ni muhimu kuwa vizuri kiuchumi ili ukizeeka usiwe tegemezi ukawasumbua watoto

Elon Musk aliwahi sema mtoto wake ni jukumu lake maana yeye ndio kachagua kuwa na mtoto, na dogo hakuomba kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…