Hatari za kuchelewa kuoa

Fikra za waandishi kama wewe ni nyingi kuhusu hilo. Lakini wengi wenu huwa mnapata "muwasho" wa kuwatwika wenzenu fikra finyu na invalid. Miaka 40 ni mingi kwa upeo wa fasihi zako na ujunki wa chipsi mayai na juice za moo!

Karibu Sana
 
sijawahi kufikiri kama nitapitisha umri wa miaka 25 bila ya kuoa.......
zenu dua
 
Nimesoma baadhi ya replies za watu humu zinasikitisha ila nilichokigundua ni kuwa watu wanakosa ndoto kubwa na clear purpose kwenye maisha yao yani mtu hajui anataka nini, na afanye nini kwenye maisha.

Suala la kuoa na kuwa na familia ni la muhimu zaidi kwa mwanaume alie na akili timamu tena kwa wakati bila kuchelewa Kwa excuse yoyote.

Unahitaji kazi tu ambayo itakukufanya upate mahitaji ya muhimu , vingine ni nyongeza ambayo wewe na upekee wako ukivitaka fanya juhudi uvipate.
 
Hapo sex unajihudumiaje, au ndo ile kesho kwa Mwajuma kesho keshokutwa kwa Aisha na kama ndivyo ilivyo unaweza kuona kuwa tendo hilo huleta watoto, pengine tunaweza kusema hakuna tofauti na kuoa,

Kuna vitu huja tu kwenye maisha ya mwanadamu apende asipende
 
MWANAUME MWENZANGU PATA WATOTO. kikubwa zaid TAFUTA NA TENGENEZA MIFEREJI YA PESA UJILEE VIZUR ...NDIO NDIANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…