Hatari za kuchelewa kuoa

Mtatuua Kwa Presha jamani, Mambo Bado yakikaa sawa tutaoa.
 

Ungekuwa umesoma ungejua hata maana ya hiyo Serikali lakini Kwa vile Akili yako ni ndogo Nina uhakika hujui hata mambo ya kijamii ni sehemu ya Serikali.

Serikali kutokukulazimisha Jambo Fulani haimaanishi Jambo Hilo halipo under control yake.

Nina uhakika Kwa akili yako hata ukasome PhD huwezi kuwa na akili hata ya Kijana wa Kidato cha nne mwenye Uelewa wa Dunia.

Unasema wapo wanaoishi bila ndoa, kwani ni wapi nimesema kuwa mtu hawezi kuishi bila ndoa?

Kwa kukutoa tongotongo tuu kukushauri; Ukiona Jambo lolote limetajwa karibu Dini zote, na lipo katika Mila zote, na karibu sheria za Serikali karibu zote duniani, basi jua Jambo hilo ni nyeti na muhimu.
Ndoa ni sehemu ya mambo HAYO nyeti.

Na ukiona mtu anabisha Jambo ambalo ni nyeti basi jua Ni mwendawazimu au Mpumbavu.
 
Siku zote nakufagilia sana kwenye topic zako lakini Leo umeandika ujinga tu. Kuoa na kuolewa sio maisha na wala sio maono. Kwa maisha ya sasa hutakiwi kuoa mapema kama zamani. Siku hizi kuoa ni miaka 35 kuendelea hata 40 ni umri mzuri sana wa kijana kuoa kwani atakuwa ameshawekeza na pia akili imekomaa.

Vijana wengi wa sasa ni wadogo lakini wengi wao wanaoa wakiwa na miaka 25 mpaka 30 cha ajabu wanaoa single mother na wengine Hawaii kabisa Bali wanaolewa au kuhifahiwa na wana wake wenye pesa zao. Ukweli ni kwamba hakuna umri sahihi wa kuoa kwa sasa Bali ni MTU kuamua mwenyewe atakapokuwa tayari. Vijana wengi wenye ndoa nzuri ni wale waliochelewa kuoa na kuolewa kwakuwa wengi wao wameshawekeza hivyo maisha hayawapigi chenga hata wakizaa hawawazi tena ada wala kiwanja ni kujiongeza tu.

Lakini kumbuka kuoa na kuolewa sio mashindano chunga amani yako usikimbilie kuoa au kuolewa kisa umri.
 
Umeainisha vizuri sana hongera. Sema wachache sana wanaakili ya kuoa na miaka 40+ ,vijana wenye uhitaji wa kuoa, miaka 25 - 30 tayari wameoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siku zote nikiandika Jambo ujue nimelipima, siandiki Kwa mihemko au kukurupuka.

Jambo lolote ukilifanya zingatia Mwisho wake, ukiona mwisho ni mzuri basi fanya.

Nimeandika hayo Kwa kuzingatia Jambo Hilo, unatafuta pesa sijui ujiweke Sawa kiuchumi wengi wakitumia kanuni hii nakuhakikishia itawagharimu, na hii inawasumbua zaidi wasomi.

Tupo kwenye mjadala
 
umeainisha vizuri sana hongera.
sema wachache sana wanaakili ya kuoa na miaka 40+ ,vijana wenye uhitaji wa kuoa, miaka 25 - 30 tayari wameoa

Sent using Jamii Forums mobile app


Wasomi ndio wanajifanya Wana ndoto😂😂😂 Wana matarajio katika Dunia wasiojua nini kitajiri kesho😀😀😀.

Hapo ndipo Wasomi wanapopigwa bao na ambao hawajasoma
 
Vijana wasio na misimamo wakisoma watu kama nyinyi wanapata tabu sana.
Ndo ukweli ndgu yangu!!
Misimamo inaweza kukuvusha au kukutumbukiza shimoni.

Hivyo kua makini na hiyo misimamo.
 
Ungetenganisha haya mambo.

1. Kuoa si lazima kupata watoto.
2. Kupata watoto si lazima uoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…