Hatari za kuchelewa kuoa

Sio kweli
 
Upande utakaoshinda mlete summary tufanye maamuzi. .
Mjumbe wa wa 30-35 yrs hapa.
 
Na ni irresponsibility kubwa Sana kuzaa mtoto ambaye hujamhakikishia future yake kuwa Bora , ni ujinga Sana watu kuzaa kama bata , we have been given a sense of logic Ila watu hawatumii logic wao ni kuishi kama wanyama Tu
Kesho itajitegemea yenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuache tu Bwana Heriel usitupe stress .... Kikubwa uwe na hela bas
 
Mtego huo, uwe wa habati mbaya au wa makusudi sitouingia kamwe.
 
Hizo ni akili za kitoto Sana eti kuwahi kuoa bila kijipanga kiuchumi ni ujinga tu.Akina Obama, Jay-Z wameoa wakiwa na miaka 40s lakini wanaendelea vizuri na ndoa zao zinaendelwa vizuri tu.Masikini ndiyo wanawahi kuoa na hatimae kuzaa watoto wengi bila kujua hatma ya watoto waliozaliwa itakuaje .Kijana jipange kwanza kiuchumi ndo uoe kwa Sababu hakuna ndoa ya masikini yenye amani na furaha hata upendo zaidi ya chuki,wivu na husda.Nchi Zote zilizoendelea watu Hawaii kwenye huo umri sembuse huku kwetu ambako umasikini umetamakaki.Uchumi kwanza badae ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…