Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama Jk alivyokua anawaita Ikulu baada ya kupiga kelele na kuwapa bahasha za kaki zilizo jaa pesa.

Kipindi chako ndo tuliona Seth Singa singa wa IPTL anapandishwa mahakamani na Rugemalila kipindi chako ndo tajiri angeweza kufanywa chochote kama amevunja sheria. Umeondoka tu Seth wa IPTL anapiga picha ikulu. Kiukweli ulinyoosha still watu hawa hawajai kupata licover wakiskia tu jina lako R.I.P JPM. Kundi la hao watu alijawahi kupata nafuu wakiskia jina la JPM ndo wengi wako humu ulivyoondoka wakatuletea DP world aibu kwa nchi mkataba wa Chifu Mangungu si ajabu Dp world yuko Tanzania hapa hapa ndo mmiliki kama ulivyosema wale wote waliotakiwa kupisha bandari ya bagamoyo na kulipwa fidia ni wahuni tu na pesa ilikua inarudi mikononi mwao ya fidia wakwepa kodi nani anadai risiti siku hizi?
 
JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama Jk alivyokua anawaita Ikulu baada ya kupiga kelele na kuwapa bahasha za kaki zilizo jaa pesa.

Kipindi chako ndo tuliona Seth Singa singa wa IPTL anapandishwa mahakamani na Rugemalila kipindi chako ndo tajiri angeweza kufanywa chochote kama amevunja sheria. Umeondoka tu Seth wa IPTL anapiga picha ikulu. Kiukweli ulinyoosha still watu hawa hawajai kupata licover wakiskia tu jina lako R.I.P JPM. Kundi la hao watu alijawahi kupata nafuu wakiskia jina la JPM ndo wengi wako humu ulivyoondoka wakatuletea DP world aibu kwa nchi mkataba wa Chifu Mangungu si ajabu Dp world yuko Tanzania hapa hapa ndo mmiliki kama ulivyosema wale wote waliotakiwa kupisha bandari ya bagamoyo na kulipwa fidia ni wahuni tu na pesa ilikua inarudi mikononi mwao ya fidia
Kanyooshwa yeye sasa!
Hilo shetani lenu la Chato linakula moto tu 6feet under.
Lililowachukia bado wanakula maisha. Hapo nani kanyooshwa
 
Back
Top Bottom