mimi na watoto wangu 4 na mke wangu hatuhesabiwi mpaka kipengele cha dini kiwekwe.
Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka wazi kuwa hawatoshiriki sensa kufuatia serikali kupika takwimu za waislam huku wakijua hamna sensa iliyowahi kuuliza dini.
Majina yanaweza kutumika kujua dini...!
upeo wako wa kufikiri umeishia hapo? Vipi kuhusu native name waweza jua kama ni la dini gani? Vipi mtu anaeitwa john salum, unaweza jua ni dini gani? Great sinker!
Ikiwa hivi ndo ntajua kweli serikali yetu lege lege"
mm nataka waweke na kipengele cha kutujulisha kuna majini mangapi na nguruwe wangapi tanzania