Hati hati sensa kuahirishwa

Hati hati sensa kuahirishwa

Kivia

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
278
Reaction score
32
Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka wazi kuwa hawatoshiriki sensa kufuatia serikali kupika takwimu za waislam huku wakijua hamna sensa iliyowahi kuuliza dini.
 
mimi na watoto wangu 4 na mke wangu hatuhesabiwi mpaka kipengele cha dini kiwekwe.
 
Bora isifanyike,sensa ni kwa manufaa ya umma wote sio serikali peke yake
 
Wakiweka hicho kipengele mimi ndio nitagoma sasa
 
Kweli nasikia serikali imefyata mkia kwa waislam hivyo wanataka kuzungumza na viongozi wa taasisi zote za kiislam
 
Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka wazi kuwa hawatoshiriki sensa kufuatia serikali kupika takwimu za waislam huku wakijua hamna sensa iliyowahi kuuliza dini.

Ikiwa hivi ndo ntajua kweli serikali yetu lege lege"
 
mm nataka waweke na kipengele cha kutujulisha kuna majini mangapi na nguruwe wangapi tanzania
 
mbona nasikia mgomo wa waislamu kuhusu sensa chadema wanahusika kwa kuwashawishi nchi haita tawalika. Teh teh teh
 
upeo wako wa kufikiri umeishia hapo? Vipi kuhusu native name waweza jua kama ni la dini gani? Vipi mtu anaeitwa john salum, unaweza jua ni dini gani? Great sinker!

Hiyo ni changamoto mkuu!!
 
]Ikiwa hivi ndo ntajua kweli serikali yetu lege lege"

Itakuwa legelege kwa kukubali matakwa ya waislam,mbona kila wanalotaka maaskofu serikali inakubali hapo hujaona ulegelege,subirini si mnamwaga mboga.
 
Sensa haiwezi kuahirishwa isipokuwa semina za sensa ndo zimesogezwa mbele kidogo, yaani badala ya kuanza tarehe 6/8/2012 hadi 16/8/2012 zitaanza tarehe 9/8/2012 hadi 19/8/2012.
 
Back
Top Bottom