daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 358
Kutokana na janga hili la korona lililo ikumba dunia limeleta athali kubwa sana katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Viongozi wa makanisa na taasisi zingine za dini ziko katika hatari kubwa ya kukosa sadaka kutoka kwa waumini wao. Kwani pamoja na Mhs. Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuruhusu waumini wa dini kuendelea na mikusanyiko lakini waumini hao wamekosa imani kabisa na kupunguza maudhulio katika nyumba za ibada.
Chanzo kimoja cha habari kinasema kuwa waumini wamepoteza imani kwa viongozi wao kutokana na kuwa walitegemea hao viongozi wao wangekuwa wa kwanza kuambiwa na Mungu ujio wa gonjwa hili hatari la korona kama ilivyokuwa kwa akina nabii Nuhu na Musa na wengine ambao walikuwa wanaambiwa na Mungu matukio yote yaliyokuwa yanakuja kutokea na kutaazalishwa.
Waumini hawa ambao awakutaka kujulikana kwa kuhofiwa kutengwa na makanisa yao wanasema pamoja na kuwa wanapeleka sadaka zote kama zaka, malimbuko ahadi na zingine lakini baada ya kuja kwa hili gonjwa viongozi hao pia wanalia na kupeleka imani zao kwa wanasayansi kwani hadi sasa hakuna mtumishi yeyote wa mungu aliye na majibu ya kiroho ya balaa hili.
Hadi sasa kanisa kuu la Vatikani kule Roma Itali limefungwa yakiwemo makanisa yote ya Ulaya, Marekani, Asia, Afrika na kote duniani. Pia ibada ya Umla na Hija kule Maka zimehailishwa kutokana na gonjwa hili la Korona.
Kwa hapa Tanzania kumekuwepo na watumishi wa Mungu ambao wamekuwa na maisha makubwa sana hata kununua magari ya kifahari, majumba na hata Helikopta za kutembelea. Kama hari ikiendelea wanaweza kuyumba kwani walikuwa wanakula katika madhabau kwa kutegemea sadaka za waumini ambao imani yao ni haba kwa watumishi wao.