Hati hati ya kupoteza Nafasi ya chuo kikuu

Hati hati ya kupoteza Nafasi ya chuo kikuu

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Kaka angu alishitakiwa mahakamani (makama ya mwanzo) kwa kesi ya wizi. Kesi haikuwa na ushahidi wa moja kwa moja kwani alihisiwa na jirani yake kuwa ndiye aliyemuibia na kupeleka kesi mahakama ya mwanzo toka mwezi wa 3 mwaka huu. Kwa sheria za hapo chuoni mtu akikutwa na tuhuma na kuhukumiwa mahakamani anapoteza nafasi yake ya kuwa mwanafunzi.

Kwa sasa yupo mwaka wa mwisho semister ya mwisho na hivi karibuni mwezi wa 7 anatarajali kuanza mitihani yake na kuisha mwezi wa 7 mwishoni.
Kesi imeshafikia tarehe ya mwisho ya hukumu ambayo ni tarehe 28/05/2018.

Je haiwezekani mshitakiwa ambae ni kaka angu kuiomba mahakama isigeze tarehe za hukumu ili aweze kumaliza research na mitihani hapo chuoni?, kwani japo dalili zinaonesha anaenda kuishinda kesi lakini hofu ni kuwa hukumu haitabiliki.
Kwa wale wazoefu wa sheria tupeni ushauri juu ya hili ?
 
kwa hiyo sababu ni ngumu sana, pia hukumu inaweza kutolewa bila ya yeye kuwepo kama anaona ana uhakika aendelee na mambo yake tuu asikilizie hukumu
 
Back
Top Bottom