Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Katiba ata hiwe nzuri kiasi gani kama hakuna utashi ni sawa na bure alipo kuja Chato akachukua hekima ndani ya wiki moja tayari Kenya inapata mwanga juu ya ufisadi ulio kubuhu juzi kawa ambiwa magavana hana pesa za kuwapaKwetu huwa hatushukuru mtu binafsi, hatuna mungu mtu, kwetu katiba mpya na bora Afrika ndio hutumika.
Hata rais hana uwezo kwa hili, yupo pembeni anajionea mambo.
Aisee Nyie wadanganyika huandika vibaya sana!Katiba ata hiwe nzuri kiasi gani kama hakuna utashi ni sawa na bure alipo kuja Chato akachukua hekima ndani ya wiki moja tayari Kenya inapata mwanga juu ya ufisadi ulio kubuhu juzi kawa ambiwa magavana hana pesa za kuwapa
Njoo tukufundishe kiswahili kwa tone ya mswahili mwenyewe sio kiswahili chenu kwa hisani ya ras simba wa kenyaAisee Nyie wadanganyika huandika vibaya sana!
Katiba ata hiwe nzuri kiasi gani kama hakuna utashi ni sawa na bure alipo kuja Chato akachukua hekima ndani ya wiki moja tayari Kenya inapata mwanga juu ya ufisadi ulio kubuhu juzi kawa ambiwa magavana hana pesa za kuwapa
Alafu pia inaonyesha hizi kesi zinafanywa na wataalam na watu waliopewa mamlaka ya kikatiba, na si kama nchi zengine ukanda huu ambapo unakuta Rais ndo anaamrisha jama flani ashikwe , au unakuta Rais anawekwa kwenye 'loop' na vyombo vya usalama,... Yaani anaambiwa Kesho tunamshika jamaa flani alafu anakubali au kukataa...Ndio huu utawala wa sheria, yaani leo unakaa pembezoni mwa rais, mnacheka naye, kesho unaburuzwa hadi jela.
Umuhimu wa katiba nzuri huondoa yale matamko ya mikwara ambayo tulikua tumezoea na kuyaogopa "unajua mimi nani", "unajua naweza kupiga simu moja tu na unaisha".
Kuna kipindi ilikua, yaani ukifaulu kupiga picha na rais wa nchi inakua kama mtaji, utapiga hela kwa kutumia hiyo picha na kubabaisha nchi yote.
Njoo tukufundishe kiswahili kwa tone ya mswahili mwenyewe sio kiswahili chenu kwa hisani ya ras simba wa kenya
Alafu pia inaonyesha hizi kesi zinafanywa na wataalam na watu waliopewa mamlaka ya kikatiba, na si kama nchi zengine ukanda huu ambapo unakuta Rais ndo anaamrisha jama flani ashikwe , au unakuta Rais anawekwa kwenye 'loop' na vyombo vya usalama,... Yaani anaambiwa Kesho tunamshika jamaa flani alafu anakubali au kukataa...
Huu mfumo tunaoutumia sasa ni CID au EACC inafanya uchunguzi alafu wakishakusanya ushahidi ni lazima wapeleke ushahidi kwa kiongozi wa mashtaka, kiongozi wa mashataka nae anakagua ushahidi na kuangalia kama ni ushahidi wa ukweli na sio mtu anataka kuharibia mwenzake jina... akitosheka na ushahidi ndo mshukiwa anaweza shikwa...... Hii process yote iko nje ya nguvu za wanasiasa, mawaziri...etc, yani si lazima waziri wa Usalama atie saini ndo mtu ashikwe....As long as kuna ushahidi, kiongozi wa mashtaka ana idhini ya kikatiba ya kuamurisha mtu yeyote ashikwe...., Hata Rais mwenyewe hana mamlaka ya kusimamisha hio process kadri inapoanza!
Hebu Soma katiba inavyosema kuhusu Oifisi ya DPP ..... Yani ofisi yake inaweza hata kumchunguza Rais wa nchi bila kuomba idhini kutoka kwa yeyote..
1) There is established the office of Director of Public Prosecutions.157. Director of Public Prosecutions - Kenya Law Reform Commission (KLRC)
The Constitution of Kenya 2010www.klrc.go.ke
(2) The Director of Public Prosecutions shall be nominated and, with the approval of the National Assembly, appointed by the President.
(3) The qualifications for appointment as Director of Public Prosecutions are the same as for the appointment as a judge of the High Court.
(4) The Director of Public Prosecutions shall have power to direct the Inspector-General of the National Police Service to investigate any information or allegation of criminal conduct and the Inspector-General shall comply with any such direction.
(5) The Director of Public Prosecutions shall hold office for a term of eight years and shall not be eligible for re-appointment.
(6) The Director of Public Prosecutions shall exercise State powers of prosecution and may--
(a) institute and undertake criminal proceedings against any person before any court (other than a court martial) in respect of any offence alleged to have been committed;
(b) take over and continue any criminal proceedings commenced in any court (other than a court martial) that have been instituted or undertaken by another person or authority, with the permission of the person or
authority; and
(c) subject to clause (7) and (8), discontinue at any stage before judgment is delivered any criminal proceedings instituted by the Director of Public Prosecutions or taken over by the Director of Public Prosecutions under
paragraph (b).
(7) If the discontinuance of any proceedings under clause (6) (c) takes place after the close of the prosecutionβs case, the defendant shall be acquitted.
(8) The Director of Public Prosecutions may not discontinue a prosecution without the permission of the court.
(9) The powers of the Director of Public Prosecutions may be exercised in person or by subordinate officers acting in accordance with general or special instructions.
(10) The Director of Public Prosecutions shall not require the consent of any person or authority for the commencement of criminal proceedings and in the exercise of his or her powers or functions, shall not be under the direction or control of any person or authority.
(11) In exercising the powers conferred by this Article, the Director of Public Prosecutions shall have regard to the public interest, the interests of the administration of justice and the need to prevent and avoid abuse of the legal process.
(12) Parliament may enact legislation conferring powers of prosecution on authorities other than the Director of Public Prosecutions.
Kikatiba, baada ya Katiba mpya ofisi ya DPP ilifanywa iwe ofisi huruKwa akili yako unafikiri rais anakuwa suprised kesho kuona tayari mtu yuko mahakamani?
The Office was delinked from the Attorney Generalβs Office in 2011 after the promulgation of the Constitution in 2010.
Who we are
Who we are The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) is the National Prosecuting Authority in Kenya which has been mandated by the Constitution to prosecute all criminal cases in the country. The Director of Public Prosecutions (DPP) is the head of the ODPP and operates...www.odpp.go.ke
Kwetu huwa hatushukuru mtu binafsi, hatuna mungu mtu, kwetu katiba mpya na bora Afrika ndio hutumika.
Hata rais hana uwezo kwa hili, yupo pembeni anajionea mambo.
HALAFU wenzio wanapiga kelele za katiba bora Africa nzima ππππImagine in Thursday-25th wiki hii, Gavanda wa Kiambu alikua anampokea Rais na kumsaidia Kufungua kiwanda kipya cha bidco pale TatuCity, kumaanisha hata Rais mwenyewe hakua anajua Waititu atakamatwa kwa tuhuma za Ufisadi manake kama angejua, hangemualika wala kukubali kupigwa picha akiwa karibu na mtu ambae ameiba mali ya umma.
Waititu 2nd from right
Waititu was only 3 chairs from the presidents right side
Cheki hilo tumbo la waititu, tena alikua hajatosheka!!!!
Kitakusaidia kupata kazi huko sauzi mnapotaka kukimbilia kua wakimbiziSina haja ya kukijua maana hakitanisaidia kwa lolote lile.
Huo ufisadi umefanyika lini? Na hiyo katiba ipo toka lini?Mkuu MK254
Umeongea jambo muhimu sana kuwa katiba na mifumo thabiti ndiyo nguzo kuu ya kuondoa ufisadi na raia wote kuwa na haki sawa wakati wa kupata tenda au kandarasi .
Tanzania usipokuwa mwanaCCM / Mwana-mtaa-wa-Lumumba hupati haki sawa ktk mambo mengine ya msingi.
U-Mungu mtu unazidi kushamiri nchini Tanzania kuliko mifumo.
Sitaki kuuliwa. Acha nimalize masomo nianze kuandika vitabu MUNGU AKIPENDA.Kitakusaidia kupata kazi huko sauzi mnapotaka kukimbilia kua wakimbizi
Hadi mkewe LOL [emoji23]. Hivi zile hela alizowekea mwanawe kwa benki amezirejesha?Huyu gavana ni kituko [emoji16][emoji16]
Mkuu MK254
Umeongea jambo muhimu sana kuwa katiba na mifumo thabiti ndiyo nguzo kuu ya kuondoa ufisadi na raia wote kuwa na haki sawa wakati wa kupata tenda au kandarasi .
Tanzania usipokuwa mwanaCCM / Mwana-mtaa-wa-Lumumba hupati haki sawa ktk mambo mengine ya msingi.
U-Mungu mtu unazidi kushamiri nchini Tanzania kuliko mifumo.
Katiba ata hiwe nzuri kiasi gani kama hakuna utashi ni sawa na bure alipo kuja Chato akachukua hekima ndani ya wiki moja tayari Kenya inapata mwanga juu ya ufisadi ulio kubuhu juzi kawa ambiwa magavana hana pesa za kuwapa
ππππndiye yule yule aliyesema kwamba watu wasogeze mito iliyo karibu na nyumba zao. Jamaa angefaa sana kwa komedi sio kwa siasa πNiliona KTN nadhani mwezi wa March au April!
Yule mzee alivyo kiazi alienda deposit mahela yote kwenye akaunti ya binti yake wa University!
Mzee mjinga kweli!
Halafu mzee yupo kundi la Tangatanga!
Ruto hii corruption purge haitamuacha salama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiye yule yule aliyesema kwamba watu wasogeze mito iliyo karibu na nyumba zao. Jamaa angefaa sana kwa komedi sio kwa siasa [emoji16]