Hati imetolewa ya kumkamaata gavana Waititu na mkewe kwa tuhuma za ufisadi

Hati imetolewa ya kumkamaata gavana Waititu na mkewe kwa tuhuma za ufisadi

Kwa vile hamjawahi kugeuza katiba nitakusamehe kwa kutojua vile katiba hugeuzwa .... Si eti siku moja baada ya katiba mpya kuanza kutumika eti kila kitu kinageuka..... Katiba mpya hua ni kama koko/shell inayo taja vitu muhimu tu.... ikipitishwa ndo sheria husika zinaanza kutengenezwa na bunge.... Hua inachukua hadi miaka kumi kukamilisha sheria mpya za katiba mpya. Kwa mfano kuna sheria inayosema hakutakua na zaidi ya 2/3 ya jinsia moja kwa serekali au ofisi yyote, lakini sheria husika za kuhakikisha hilo jamboo linatekelezwa ni jukumu la bunge kutunga sheria, mpaka bunge itengeneze sheria husika ndo ndo kipenge hiho ha katiba kianze kutumika kisheria....
Katiba ikisema kutakua na ofisi huru ya DDP, Bunge ndo linatunga sheria za DDP kulingana na matakwa ya katiba, Bado tuko mbali sana kukamilisha katiba mpya na sheria zake. Lakini tayari tumeanzakuona matunda yake,



Hatahivyo, I agree that the head of an institution matters, but si kama vile unavyofikiria kwamba the head of the instituition ni rais, Rais should be just another politician, lakini watu kama Jajii mkuu, Kiongozi wa mashataka, Kiongozi wa kupeleleza policy (Independent Police over-site Authority), Kenya Human rights Commision... Hizi ndo institution zinazohitaji nguvu na CEO wajasiri, ili hata kuingie rais mwenye wazimu kiasi ghani, kutakua na imani kwamba nchi bado itabaki pale pale manake tuko na strong institutuion....

Yani kwa mfano Rais mpya akiingia madarakani na aamue watu wote maskini wauliwe!!!! au mali yote ya umma ni mali ya Rais...... bado kutakua na institution ambazo zinaweza zikamzulia rais kufanya jambo kama hilo
Hujajibu hoja zaidi ya kuingia vichakani

Anyway keep it
 
Back
Top Bottom