Ndugu wana jamii,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja changu kama security?
Sina biashara yeyote na sija ajiriwa sehemu yeyote.Ila nina business idea ambayo nataka kuifanyia kazi
kama nikifanikiwa kupata pesa.
Natanguliza shukrani.
Mwn jamii.
Aisee hapo ngumu sana maana bank wao huwa hawana biashara ya kuuza viwanja. Nini wanataka ni kipato chako ambacho kitalipia mkopo sasa kama huna income kwa jinsi ninavyozijua financial institution zetu TAFUTA UFUMBUZI MWINGINE KAMA KUKOPA KWA JAMAA AU NDUGU.
Mawazo yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.