Hati Ya Dharura KwEnda kwa Invisible.

Hati Ya Dharura KwEnda kwa Invisible.

ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Posts
5,614
Reaction score
5,351
Habari za Muda huu

wakuu

Kutokana na Ongezeko la ID's fake pamoja na Mkanganyiko Uliyomo Humu Jf juu Ya Jinsia za Wanachama Wake. Nimeamua kukaa Chini na Wale Nguri Wa Sheria Humu Jukwaani na kuangalia Uwezekano Wa Kuwasilisha Hati Ya Dharura Katika Kujadiliwa kwa Haraka Kwa Haya Niliyoyasemea Hapo Juu.

(1) kumekuwa na Ongezeko kubwa la Id's hapa jukwaani na kupelekea wengine kukosa Amani Kutokana na Hofu yao katika kunaswa na Mitego Hiyo iwapo kama wenye Id's ni Hawa hawa wa zamani lakini wakiwa kwenye Id's mpya. Ni ukweli Usiofichika kuwa Kuna rafu nyingi sana zinafanyika humu ndani especially kule pm. Rafu hizo zimesababisha matumbo joto kwa wenye watu wao Hivyo Wengine wameamua kuja na Id's mpya Zikiwa katika Majina Ambayo huwakilisha jinsia Nyingine Ikiwa ni Mbinu Mtambuka ya Kuwashika Ugoni watu wao au kuupima Uaminifu wao.

(2)Kutokana na Ongezeko Hilo linalozua Hofu kati Yetu nimeona Sasa Ifikie hatua kila mtu hasa Wale Wenye Id's zaidi ya Moja waache mara moja na wAjiamini kuwa wapo mwenyewe na Wala Hakuna mtu ambaye Ataingia katika Anga Za Mwingine.

Pia lazima utambue na ukubaliane na ukweli kwmba kama wewe umetongozwa Ukakubali na Hata Mwenzako Anauwezo wa Kutongozwa na Akakubali pia.. Na Vilevile hata sisi wanaume unapotongoza ukakubaliwa Kumbuka hata mwenzako Anauwezo wa kutongoza na Kukubaliwa, Hivyo Kuja na Id Fake ni kuonyesha kwamba Hujiwezi.

Kuna Wadada Wa wili ambao walikuwa ni Marafiki Zangu wa Kutupwa na Wote walikubali kukutana na Mimi na Kilichobakia Ilikuwa ni Mimi tu kutia Saini lakini Kutokana na Mishe Za Maisha Nikajikuta nikibanwa na Kukosa Muda wa kukutana na Warembo hao.

Baada Ya Kutokea kwa Hali Hiyo Wote wakapunguza Uhusiano Wao Kwangu Huku Wengine Wakiapa kuwa Hawatacomment katika Thread ambayo itaanzishwa na Mimi. Lakini Cha Ajabu Kukatokea Majina Mapya Mawili ambayo Yalikuwa Yakinisapoti kwa hali ya Juu kitu kilichonifanya mtu mzima Nikiingie Chaka ili Kukubaliana na Akili Yangu... Kweli nilipoingia Chaka nikagundua Mmoja ni Yule lakini Hii Id nyingine Sijajua Mmiliki ni Nani!!!!!

Kutokana na Tatizo Hilo na Mengine Mengi Yanayoendelea Kujitokeza Humu Jf Nimeamua kuongea na Wanasheria Ili Kuandaa Waraka tuuwasilishe Kwa Kiongozi Invisible ili Tuangalie ni Jinsi Gani tutalitatua Hili tatizo na Kujenga kujiamini kwa Vijana Wetu Humu ndani.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI.
 
Mungu akuchekie kale ka nafasi kazuuuuuuuuuuuuuri jirani na Ibrahim baba wa imani
 
Nataka nifungue Id ya ki adult maalum kwa kuingilia jukaaa la wakubwa.
 
R.I.P mleta uzi
ef76c44d4471e65ce7452d4cdf3c1d00.jpg
 
Back
Top Bottom