Uwezekano wa kupata Hati nyingine Original haupo, isipokuwa utapatiwa "Duplicate Copy" ambayo utaitumia kama Original Certificate of Right of Occupancy.Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu tupeane uzoefu.
Shukran sana. Ngoja jumatatu ninyookee idarani. Unaweza kuwa unajua gharama yake? Hopefully haitakuwa sawa na gharama ya hati mpya.Uwezekano wa kupata Hati nyingine Original haupo, isipokuwa utapatiwa "Duplicate Copy" ambayo utaitumia kama Original Certificate of Right of Occupancy.
Suala la kupata Duplicate copy ya Hati miliki baada ya Ile ya mwanzo kupotea au kuharibika ni Mchakato mrefu, gharama za Mchakato huo huwa zinabadilishwa mara kwa mara.Shukran sana. Ngoja jumatatu ninyookee idarani. Unaweza kuwa unajua gharama yake? Hopefully haitakuwa sawa na gharama ya hati mpya.
Shukran sana mkuuSuala la kupata Duplicate copy ya Hati miliki baada ya Ile ya mwanzo kupotea au kuharibika ni Mchakato mrefu, gharama za Mchakato huo huwa zinabadilishwa mara kwa mara.
Nafikiri unapaswa kwenda katika Ofisi za Ardhi ili uweze kupata maelekezo kutoka katika Mamlaka hizo. Ila jiandae vizuri 'Kisaikolojia na kiuchumi.'
samahani mkuu naomba na mm unieleweshe hili kama unafahamu mm hati imekosewa jina yaan jina langu limesahaulika wameweka jina la baba na la babu uwezekano wa kubadilisha upo auSuala la kupata Duplicate copy ya Hati miliki baada ya Ile ya mwanzo kupotea au kuharibika ni Mchakato mrefu, gharama za Mchakato huo huwa zinabadilishwa mara kwa mara.
Nafikiri unapaswa kwenda katika Ofisi za Ardhi ili uweze kupata maelekezo kutoka katika Mamlaka hizo. Ila jiandae vizuri 'Kisaikolojia na kiuchumi.'
wewe unataka kumtapeli baba yakosamahani mkuu naomba na mm unieleweshe hili kama unafahamu mm hati imekosewa jina yaan jina langu limesahaulika wameweka jina la baba na la babu uwezekano wa kubadilisha upo au
Hayo majina ya baba na babu yako wao waliyapata wapi? Hao watengenezaji wa Hati miliki waliyajuaje hayo majina ya baba na babu yako???samahani mkuu naomba na mm unieleweshe hili kama unafahamu mm hati imekosewa jina yaan jina langu limesahaulika wameweka jina la baba na la babu uwezekano wa kubadilisha upo au
Mkuu asante sana kwa elimu mujarabu,ubarikiwe sana [emoji1431]!! Hili swali nilikua najiuliza sana,mbona Aridhi wamenipa duplicate copy au wamenipiga!!??Uwezekano wa kupata Hati nyingine Original haupo, isipokuwa utapatiwa "Duplicate Copy" ambayo utaitumia kama Original Certificate of Right of Occupancy.
Hati Miliki nyingine ambayo ni Original Copy utaipata baada ya Muda wa Uhai wa Miliki yako ya Ardhi (Land Tenure) iliyopo Sasa hivi kufika ukomo wake (expired) na kisha kuomba Tena upya ili upatiwe Miliki nyingine Mpya sambamba na kupatiwa Hati nyingine Mpya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe unataka kumtapeli baba yako
We kaka majina ya baba yako na babu yako waliyapataje, Sema shida yako usaidiwe, go to the point, Vipi mnagombea urithi?🤣🤣🤣samahani mkuu naomba na mm unieleweshe hili kama unafahamu mm hati imekosewa jina yaan jina langu limesahaulika wameweka jina la baba na la babu uwezekano wa kubadilisha upo au
hapana mkuu serious sio utani picha ni yangu na kiwanaja nmenunua mwaka jana hatai nimepata miez 2 mbele ila nlkua mbali na mji nkaja kuichukua hatj yangu kwez wa 6 ndo jina liko tofaut mkuu nmesahaulika ndo maana nauliza hvo sio kama nataka kutapeli mtu mkuu duh 🤣🤣We kaka majina ya baba yako na babu yako waliyapataje, Sema shida yako usaidiwe, go to the point, Vipi mnagombea urithi?🤣🤣🤣
🤣🤣 serious mkuu sio utani n kweliwewe unataka kumtapeli baba yako
wakat wa kuandikishiana majina ya mnunuaji na muuzaji nliandika majina yangu 3 kwa watu wa serikal ya mtaa maana hati sio ya kupata siku hyhyo ko nkaacha baada ya muda wa miez 2 nadhan ndo nkaja kupata hati yngu maana yake mm nlitakiwa kusaini tu maana sain za wajumbe na mashahid na wote yapo humo mkuuHayo majina ya baba na babu yako wao waliyapata wapi? Hao watengenezaji wa Hati miliki waliyajuaje hayo majina ya baba na babu yako???
Tuanzie hapa kwanza.